Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 16,879
- 31,253
Hiyo bei ni kubwa sana kwa hiyo gari,kuna Jamaa yangu anayo namba C alikuwa anauza 8M hajapata mteja.at least Fanya 8-7M
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba C kwa 8m, hiyo ni namba DSP ina mwaka mmoja tu TZ inauzwa 9.9m (negotiable)....kweli unasema bei kubwa mkuu?? [emoji848]Hiyo bei ni kubwa sana kwa hiyo gari,kuna Jamaa yangu anayo namba C alikuwa anauza 8M hajapata mteja.at least Fanya 8-7M
Do your homework chief [emoji847]Duh! Hivi bei ndo ziko hivi au ni umaskini wangu.
Very true [emoji1666]Hizi gari watu hawajui tu, bei inaweza kua kubwa kidogo ila maintenance cost dongo sana, zina nguvu, zinahimili barabara zote na mafuta zinatumia kidogo sana.
DSP gani imechoka hivyo? Labda ni ya ZNZ au ilinununuliwa Serikalini kwasababu mtaani DSM gari DSP bado mpya Sana na Kwa mikoani ndio mpya kabisa zinanukia kijapanNamba C kwa 8m, hiyo ni namba DSP ina mwaka mmoja tu TZ inauzwa 9.9m (negotiable)....kweli unasema bei kubwa mkuu?? [emoji848]
.
[emoji1666]
Karibu uone gari mkuu halafu nakutunzia hii msg yako, ukishamaliza kuiona kwa macho yako hiyo gari....nitakurejea hii msg yako.DSP gani imechoka hivyo? Labda ni ya ZNZ au ilinununuliwa Serikalini kwasababu mtaani DSM gari DSP bado mpya Sana na Kwa mikoani ndio mpya kabisa zinanukia kijapan
Kivipi mkuu?Mmmmmh hiyo gari mbona kama imetengenezwa buza
[emoji1666]Hahahahahaha! Jokes ila binafsi napenda magari ya bei kidogo.
Gari bado imesima vizuri,bei reasonable.sema pia kameshatembeatembea toka mwaka 1999 km145,791 ni kitambo.You're welcome
Gari bado imesima vizuri,bei reasonable.sema pia kameshatembeatembea toka mwaka 1999 km145,791 ni kitambo.
ijapo kuwa hata hivyo bei zake ni kubwa pia
Fair comment [emoji1666]Gari bado imesima vizuri,bei reasonable.sema pia kameshatembeatembea toka mwaka 1999 km145,791 ni kitambo.
ijapo kuwa hata hivyo bei zake ni kubwa pia