Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Namba C kwa 8m, hiyo ni namba DSP ina mwaka mmoja tu TZ inauzwa 9.9m (negotiable)....kweli unasema bei kubwa mkuu?? [emoji848]
.
[emoji1666]
DSP gani imechoka hivyo? Labda ni ya ZNZ au ilinununuliwa Serikalini kwasababu mtaani DSM gari DSP bado mpya Sana na Kwa mikoani ndio mpya kabisa zinanukia kijapan
 
DSP gani imechoka hivyo? Labda ni ya ZNZ au ilinununuliwa Serikalini kwasababu mtaani DSM gari DSP bado mpya Sana na Kwa mikoani ndio mpya kabisa zinanukia kijapan
Karibu uone gari mkuu halafu nakutunzia hii msg yako, ukishamaliza kuiona kwa macho yako hiyo gari....nitakurejea hii msg yako.
Tusiwe wajuaji sana jamani [emoji848]
 
Gari bado imesima vizuri,bei reasonable.sema pia kameshatembeatembea toka mwaka 1999 km145,791 ni kitambo.
ijapo kuwa hata hivyo bei zake ni kubwa pia
Fair comment [emoji1666]
 
Back
Top Bottom