- Thread starter
- #161
NotedHizi gari wanazipenda vijana wanaoingia kwenye ajira kipindi hiki na hasa Askari maana ukienda kota unazikuta subaru na altezza kwa wingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NotedHizi gari wanazipenda vijana wanaoingia kwenye ajira kipindi hiki na hasa Askari maana ukienda kota unazikuta subaru na altezza kwa wingi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakweli sijaelewa lengo lako hata kidogo, anyway wacha nikuache mwerevu kama ulivyo.Mkuuu haina Virus vya Corona toka kwa huyo Mchina. Maaana kwa sasa welevu hatununui chochote toka China au kwa Mchina kuepuka mlipuko wa hili sekeseke
[emoji851]Hii tabia ya watu kutokupenda utalii wa ndani itaisha lini? Hadi kwenye tangazo umefanya utalii wa nje tu.
Atakaye nunua hiyo gari atakuwa fala sana. Crown iliyotembea Tz toka 2015 ununue kwa 11ml wakati ukiagiza wapata kwa 12 hadi 14
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei elekezi mkononi ni kiasi gani?Atakaye nunua hiyo gari atakuwa fala sana. Crown iliyotembea Tz toka 2015 ununue kwa 11ml wakati ukiagiza wapata kwa 12 hadi 14
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umekosea uliposema 'chinese' owner What are trying to imply?! Kwamba gari itakuwa bora zaidi kwasababu owner ni mchina au mbovu zaidi?Kwakweli sijaelewa lengo lako hata kidogo, anyway wacha nikuache mwerevu kama ulivyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Punguza nongwa mzee, nisingependa niseme tuliyozungumza kule WhatsApp.akikubal 9 nalipa sasa hivi
Sent from my iPhone using JamiiForums
SawaAtakaye nunua hiyo gari atakuwa fala sana. Crown iliyotembea Tz toka 2015 ununue kwa 11ml wakati ukiagiza wapata kwa 12 hadi 14
Sent using Jamii Forums mobile app
Unanipangia cha kuandika mzee? Mbona unachekesha!Wewe umekosea uliposema 'chinese' owner What are trying to imply?! Kwamba gari itakuwa bora zaidi kwasababu owner ni mchina au mbovu zaidi?
Kwa waliofanya issue na wachina wanawaelewa vizuri ni bora usingetutajia asili ya muuzaji,mambo ya zamani hayo
Na wewe unanipangia cha kujibu?! Weka uzi wako kufuli tusichangie. Eti Chinese owner so what? LaughableUnanipangia cha kuandika mzee? Mbona unachekesha!
.
Fungua uzi wako andika unachotaka
Sent using Jamii Forums mobile app
Reselling value ya magari yenye 6 clyinders(i6,V6) haijawahi kua kubwa tangu nchi hii iumbwe.