Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Shida iko kwa watu wa kati mkuu,kuna jamaa yangu aliiona altezza fb kwa m 5.5,dalali top akadai 5.3,akaipotea,siku yake akaikuta ile altezza maeneo flan,kumuuliza aliekua nayo akadai ni kweli inauzwa na yeye ndio mmiliki,jamaa yangu ile altezza aliinunua kwa m 4 na kwenye kubadilisha jina la kadi walichanga,watu wa kati hatari sana
Reselling value ya magari yenye 6 clyinders(i6,V6) haijawahi kua kubwa tangu nchi hii iumbwe.

dodge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shida iko kwa watu wa kati mkuu,kuna jamaa yangu aliiona altezza fb kwa m 5.5,dalali top akadai 5.3,akaipotea,siku yake akaikuta ile altezza maeneo flan,kumuuliza aliekua nayo akadai ni kweli inauzwa na yeye ndio mmiliki,jamaa yangu ile altezza aliinunua kwa m 4 na kwenye kubadilisha jina la kadi walichanga,watu wa kati hatari sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hio nakubali kwa 100% mkuu madalali ndio shughuli zao hizo, 6 cylinders(Altezza,Brevis,Grande mark 2,Verossa etc) bei yake ni hapo kwny 4m tu,zile cresta kwny 3m kushuka chini.

Inshort ukinunua 6 cylinders nunua kwa mapenzi yako(smooth riding) lkn kutegemea reselling value kua kubwa ni kujidanganya tu mzee baba.

Ukienda kwenye acc zao za Instagram, gari moja imepostiwa Na madalali zaidi ya sita Na kila Dalali Ameweka bei yake. Hakuna anaekuunganisha Na mmiliki, kila mtu anajifanya ndie mwenye madaraka Na hiyo gari.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe unanipangia cha kujibu?! Weka uzi wako kufuli tusichangie. Eti Chinese owner so what? Laughable
Mzee una stress za kitu gani? Mbona unashangaza! Nikiandika Chinese owner unawashwa na nini? Kwanini hutaki niandike ninavyojisikia? Huu ni uzi wangu na sijakuita, kama unakereka pita kando.
.
Eti ninakupangia cha kujibu, khaaaa...kwani niliuliza swali kwenye huu uzi kupelekea nihitaji majibu? Mimi nauza gari sihitaji jibu lolote kutoka kwako, full stop.
.
Stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umekosea uliposema 'chinese' owner What are trying to imply?! Kwamba gari itakuwa bora zaidi kwasababu owner ni mchina au mbovu zaidi?

Kwa waliofanya issue na wachina wanawaelewa vizuri ni bora usingetutajia asili ya muuzaji,mambo ya zamani hayo
Huku kwetu kuna wachina wanakodi magari wafanyie kazi aiseee inatia huruma linaweza tembezwa hata miezi mitatu bila kuona maji na barabara zetu sama,,, kuna moja imekata exhaust manifold hata havijali hivi vijamaaa
 
Mzee una stress za kitu gani? Mbona unashangaza! Nikiandika Chinese owner unawashwa na nini? Kwanini hutaki niandike ninavyojisikia? Huu ni uzi wangu na sijakuita, kama unakereka pita kando.
.
Eti ninakupangia cha kujibu, khaaaa...kwani niliuliza swali kwenye huu uzi kupelekea nihitaji majibu? Mimi nauza gari sihitaji jibu lolote kutoka kwako, full stop.
.
Stupid

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye stress anajionesha hapa ni nani. Chinese owner.
 
kwan hii crown inapigwa ivooo jamani[emoji28]

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom