mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Huyo mjomba kawaida yake hua hapendi kua challenged kwny udalali wake.Na wewe unanipangia cha kujibu?! Weka uzi wako kufuli tusichangie. Eti Chinese owner so what? Laughable
dodge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo mjomba kawaida yake hua hapendi kua challenged kwny udalali wake.Na wewe unanipangia cha kujibu?! Weka uzi wako kufuli tusichangie. Eti Chinese owner so what? Laughable
Oh ngoja nipite mbaliHuyo mjomba kawaida yake hua hapendi kua challenged kwny udalali wake.
dodge
World wide. Gas guzzlers resale value iko chiniReselling value ya magari yenye 6 clyinders(i6,V6) haijawahi kua kubwa tangu nchi hii iumbwe.
dodge
Bora hata world wide wanatambua hata kuna 'performance cars' kama itaangukia kundi hilo watainunua fresh kabisa,huku bongo utaambiwa tu jini mafuta hilo bila kuangalia specs nyinginezoWorld wide. Gas guzzlers resale value iko chini
Reselling value ya magari yenye 6 clyinders(i6,V6) haijawahi kua kubwa tangu nchi hii iumbwe.
dodge
Hio nakubali kwa 100% mkuu madalali ndio shughuli zao hizo, 6 cylinders(Altezza,Brevis,Grande mark 2,Verossa etc) bei yake ni hapo kwny 4m tu,zile cresta kwny 3m kushuka chini.Shida iko kwa watu wa kati mkuu,kuna jamaa yangu aliiona altezza fb kwa m 5.5,dalali top akadai 5.3,akaipotea,siku yake akaikuta ile altezza maeneo flan,kumuuliza aliekua nayo akadai ni kweli inauzwa na yeye ndio mmiliki,jamaa yangu ile altezza aliinunua kwa m 4 na kwenye kubadilisha jina la kadi walichanga,watu wa kati hatari sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukienda kwenye acc zao za Instagram, gari moja imepostiwa Na madalali zaidi ya sita Na kila Dalali Ameweka bei yake. Hakuna anaekuunganisha Na mmiliki, kila mtu anajifanya ndie mwenye madaraka Na hiyo gari.Hio nakubali kwa 100% mkuu madalali ndio shughuli zao hizo, 6 cylinders(Altezza,Brevis,Grande mark 2,Verossa etc) bei yake ni hapo kwny 4m tu,zile cresta kwny 3m kushuka chini.
Inshort ukinunua 6 cylinders nunua kwa mapenzi yako(smooth riding) lkn kutegemea reselling value kua kubwa ni kujidanganya tu mzee baba.
dodge
Bei elekezi mkononi ni kiasi gani?
Mzee una stress za kitu gani? Mbona unashangaza! Nikiandika Chinese owner unawashwa na nini? Kwanini hutaki niandike ninavyojisikia? Huu ni uzi wangu na sijakuita, kama unakereka pita kando.Na wewe unanipangia cha kujibu?! Weka uzi wako kufuli tusichangie. Eti Chinese owner so what? Laughable
Huku kwetu kuna wachina wanakodi magari wafanyie kazi aiseee inatia huruma linaweza tembezwa hata miezi mitatu bila kuona maji na barabara zetu sama,,, kuna moja imekata exhaust manifold hata havijali hivi vijamaaaWewe umekosea uliposema 'chinese' owner What are trying to imply?! Kwamba gari itakuwa bora zaidi kwasababu owner ni mchina au mbovu zaidi?
Kwa waliofanya issue na wachina wanawaelewa vizuri ni bora usingetutajia asili ya muuzaji,mambo ya zamani hayo
Hadi hapo uzi umeshaharibika tayari, wanunuzi wakali muuzaji mkali
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye stress anajionesha hapa ni nani. Chinese owner.Mzee una stress za kitu gani? Mbona unashangaza! Nikiandika Chinese owner unawashwa na nini? Kwanini hutaki niandike ninavyojisikia? Huu ni uzi wangu na sijakuita, kama unakereka pita kando.
.
Eti ninakupangia cha kujibu, khaaaa...kwani niliuliza swali kwenye huu uzi kupelekea nihitaji majibu? Mimi nauza gari sihitaji jibu lolote kutoka kwako, full stop.
.
Stupid
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka mkononi kwa hiyo being mkuu UA 12 to 14?Atakaye nunua hiyo gari atakuwa fala sana. Crown iliyotembea Tz toka 2015 ununue kwa 11ml wakati ukiagiza wapata kwa 12 hadi 14
Sent using Jamii Forums mobile app
Akikujibu nitag mkuuMpaka mkononi kwa hiyo being mkuu UA 12 to 14?