Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Car4Sale Tunauza magari ya aina mbalimbali

Kwanini hizo wiper zimekaa katikati badala ya kulala chini?

FB_IMG_16501918815853786.jpg

FB_IMG_16501919057207445.jpg
 
Habarini wakuu, karibuni gari bado ipo. Epuka MADALALI, mimi ndiye mmiliki wa gari.
.
0717 650800
 
Angalia wiper za hii Swift zilivyokaa sehemu inayotakiwa.

Labda utuambie hapo ulikuwa umeziwasha ila hizo za mbele kwenye gari lako wiper 1 ipo katikati na nyingine imelala chini!

View attachment 2198459

View attachment 2198460
Unauliza swali mwenyewe na unajibu mwenyewe? Infact siko hapa kulumbana mkuu.
.
Bado naendelea kukuhoji, uchawi huwa unakusaidia nini kwenye biashara za wenzio zisizokuhusu?
 
Kwahiyo ukiziwasha hizo za mbele moja inakuwa katikati na nyingine inalala chini!!

😃😃😃
Unauliza swali mwenyewe na unajibu mwenyewe? Infact siko hapa kulumbana mkuu.
.
Bado naendelea kukuhoji, uchawi huwa unakusaidia nini kwenye biashara za wenzio zisizokuhusu?

Kama huna majibu basi kuna shida kubwa sana kwenye kitu kinachouzwa.

Nami ni mnunuzi ndio maana nauliza hayo maswali kabla ya kuja kuangalia chombo chenyewe
 
Kwahiyo ukiziwasha hizo za mbele moja inakuwa katikati na nyingine inalala chini!!

[emoji2][emoji2][emoji2]

Kama huna majibu basi kuna shida kubwa sana kwenye kitu kinachouzwa.

Nami ni mnunuzi ndio maana nauliza hayo maswali kabla ya kuja kuangalia chombo chenyewe
Avatar na jina lako vimenikumbusha wacha nikuache nisije nikaharibu swaumu yangu.
.
Uwe na jpili njema
 
Back
Top Bottom