Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

Pathetic, gari ya mwaka 2003 ndio mpya, mpya kabisa!!!
Si nchezo
Kibongo gari mpya ni gari ambayo imekuwa used huko sio bongo. Huu ni msimu wetu. Mtu kama anamaanisha 0km ataongeza kabisa kuwa ni 0km lakini akisema mpya wengi wanajua used from Japan
 
Kibongo gari mpya ni gari ambayo imekuwa used huko sio bongo. Huu ni msimu wetu. Mtu kama anamaanisha 0km ataongeza kabisa kuwa ni 0km lakini akisema mpya wengi wanajua used from Japan
Nashukuru kwa kunisaidia ufafanuzi mkuu [emoji1666]
 
2004 Nissan Tiida (CQS)
.
YOM: 2004
Engine Code: HR1500cc
Capacity: 1490cc
.
Fuel: PETROL (Na sio Diesel Kama ilivyoandikwa kimakosa kwenye kadi ya gari)
.
Automatic
Mileage: 167,000 Kms
.
Haijawahi kupata ajali yoyote ile
Haigongi chini wala shock ups
.
Ukiacha bampa ya mbele Na ya nyuma, sijawahi kuirudia rangi pengine popote pale.
Gari halina tatizo lolote wakuu na juzi tu hapa nimetoka nayo Songea.
.
Full AC [emoji2414]
Full Documents [emoji184]
.
Bei: TZS. 3.9m [emoji1666]
.
Location: Sinza - Dsm
.
Call: 0717 650800
.
Gari ni ya kwangu mwenyewe, epuka madalali [emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…