Car4Sale Tunauza Magari ya kila aina, tupo Dar es salaam

Wabongo mmepewa bei chee mnaanza kuogopa chukueni chuma hiyo labda ameamua kufanya " a little charity"" [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
Sahihi kabisa Chief [emoji41]
 

UMESEMA HAIJAWAHI KUPATA AJALI YEYOOTE ILE, VIPI HIYO BONET MBONA INAONEKANA TOFAUTI? jE NI AJALI AU ILIPATA SHOTI YA UMEME.
 
Sasa mtoto kukwaruza gari au boda boda kukwaruza gari hiyo nayo ni ajali? Hivi kwanini huwa inatokea mtu ukajiona Ni mjuaje sana? Inachefua kwakweli.
.
Mimi mmiliki wa gari ninakueleza gari yangu haijawahi kupata ajali, sasa wewe kama Ni mteja kweli Ni jukumu lako kuja ukiwa na fundi wako uthibitishe ninayosema.
.
Sio kila jambo Ni lazima uonyeshe unalijua mzee, wakati mwingine unaweza kupata aibu kwa wanaolijua kweli KUKUDHARAU [emoji1666]
 
Ulimbo
Fika kwenye gari, ukiikuta gari ilishawahi kupata ajali yoyote ile nakurudishia gharama zako za nauli na muda HAPO HAPO.
.
Nipigie uje: 0717 650800 [emoji1666]
 
Hivi gari ikiw imepata ajali au kirudiwa rangi kunakua na tatizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…