Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Yakibonyea Hayarudi Inakuwa Na BondeNi kimeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yakibonyea Hayarudi Inakuwa Na BondeNi kimeo
Bila Shaka Ndiyo Ulilonalo
Lakini GSM HAA Hata Miaka 2 Bado
Tunatumia KKama Mkeka
Haa Haa Haa Haa Haa HaaSijui labda uzito wangu!
Nimenunua magodoro mengi kiasi kwa matumizi ya familia, nilianza na VitaRaha nikapenda, nikaja TanForm nikapenda (kasoro yake kava lilinyonyoka mapema ila godoro mukidee!).
Nikanunua GSM, bado sijaona kasoro…. nikanunua Ocean Kiss bado kwangu naona mazuri tu![emoji28]
Yote hayo ni 5x6x12” isipokuwa Ocean Kiss ni 6x6x12”.
Sasa navutiwa na Vita Extreme ila bado najikusanya.
Nyie wenzangu mna uzito gani au mnanunua magodoro feki?[emoji1787]
Asante mkuu kuitumia GSM wengi Hununua kwa makanjanja lazima utalamika tuSijui labda uzito wangu!
Nimenunua magodoro mengi kiasi kwa matumizi ya familia, nilianza na VitaRaha nikapenda, nikaja TanForm nikapenda (kasoro yake kava lilinyonyoka mapema ila godoro mukidee!).
Nikanunua GSM, bado sijaona kasoro…. nikanunua Ocean Kiss bado kwangu naona mazuri tu![emoji28]
Yote hayo ni 5x6x12” isipokuwa Ocean Kiss ni 6x6x12”.
Sasa navutiwa na Vita Extreme ila bado najikusanya.
Nyie wenzangu mna uzito gani au mnanunua magodoro feki?[emoji1787]
Nataka kama hili ila 6×6 inchi 12, ila kulifikisha Tunduma ni bei gani?Hii inchi kumi dodoma QFL ikielekea kwa mteja wetu 5x6 View attachment 1863830
Tunahusika na dar tu ndugu mikoani unafikishiwa kwa ndugu yako au usafiri unaofahamiana naoNataka kama hili ila 6×6 inchi 12, ila kulifikisha Tunduma ni bei gani?
Basi tutawasiliana unipelekee kwenye Cargo ya Tunduma pale Jangwani next weekTunahusika na dar tu ndugu mikoani unafikishiwa kwa ndugu yako au usafiri unaofahamiana nao
Haa Haa Haa Haa Haa Haa
Labda Uzito Ni Nongwa Kilogram 70
Asante mkuu kuitumia GSM wengi Hununua kwa makanjanja lazima utalamika tu
Japo sizungumzii biashara za wengine
Uzito wangu 78kg mkuu, jitahidi kuzingatia ubora pia kuna mengine kwa macho tu unajua.
Uzito wangu 78kg mkuu, jitahidi kuzingatia ubora pia kuna mengine kwa macho tu unajua.
Hili Nimenunua Dodoma GSM Kwenye Godown Lao
Halafu Tulinunua Watu 3 Wote Tatizo Ni Hilo
Usijali mkuu bei zake zinahimilika vizuri 5X6 inchi 12 ni 450000Nipe bei elekezi ya VitaSupreme 5x6x12” Density 28, kumbuka kabla ya kununua huwa najiridhisha mno kwenye bei.[emoji1787][emoji1787]
Ushauri ni muhimu sana kwa usiyeyajua magodoro vizuriUzito wangu 78kg mkuu, jitahidi kuzingatia ubora pia kuna mengine kwa macho tu unajua.
Sawa mkuu lolote namba ya ofisi 0763542515Basi tutawasiliana unipelekee kwenye Cargo ya Tunduma pale Jangwani next week
utajuta mkuuGodoro za gsm zikoje ubora wake!?
Mkuu katika magodoro usipojua fake na original utachanganyikiwa na bei pia hapo kuna kila godoro na bei zakeHizo bei zako unaua bendi.......godoro la 250k unauza 320k ok tuweke na cost za usafiri hahahaha
Nasema wapigwe tu.