INAUZWA Tunauza magodoro. Usafiri bure mpaka ulipo ndani Dar es Salaam

Bila Shaka Ndiyo Ulilonalo
Lakini GSM HAA Hata Miaka 2 Bado
Tunatumia KKama Mkeka

Sijui labda uzito wangu!

Nimenunua magodoro mengi kiasi kwa matumizi ya familia, nilianza na VitaRaha nikapenda, nikaja TanForm nikapenda (kasoro yake kava lilinyonyoka mapema ila godoro mukidee!).

Nikanunua GSM, bado sijaona kasoro…. nikanunua Ocean Kiss bado kwangu naona mazuri tu![emoji28]

Yote hayo ni 5x6x12” isipokuwa Ocean Kiss ni 6x6x12”.

Sasa navutiwa na Vita Extreme ila bado najikusanya.

Nyie wenzangu mna uzito gani au mnanunua magodoro feki?[emoji1787]
 
Haa Haa Haa Haa Haa Haa
Labda Uzito Ni Nongwa Kilogram 70
 
Sijui labda uzito wangu!

Nimenunua magodoro mengi kiasi kwa matumizi ya familia, nilianza na VitaRaha nikapenda, nikaja TanForm nikapenda (kasoro yake kava lilinyonyoka mapema ila godoro mukidee!).

Nikanunua GSM, bado sijaona kasoro…. nikanunua Ocean Kiss bado kwangu naona mazuri tu![emoji28]

Yote hayo ni 5x6x12” isipokuwa Ocean Kiss ni 6x6x12”.

Sasa navutiwa na Vita Extreme ila bado najikusanya.

Nyie wenzangu mna uzito gani au mnanunua magodoro feki?[emoji1787]
Asante mkuu kuitumia GSM wengi Hununua kwa makanjanja lazima utalamika tu
Japo sizungumzii biashara za wengine
 
Nipe bei elekezi ya VitaSupreme 5x6x12” Density 28, kumbuka kabla ya kununua huwa najiridhisha mno kwenye bei.[emoji1787][emoji1787]
 
Hili Nimenunua Dodoma GSM Kwenye Godown Lao
Halafu Tulinunua Watu 3 Wote Tatizo Ni Hilo

Uzito wangu 78kg mkuu, jitahidi kuzingatia ubora pia kuna mengine kwa macho tu unajua.
 
Hili Nimenunua Dodoma GSM Kwenye Godown Lao
Halafu Tulinunua Watu 3 Wote Tatizo Ni Hilo

Pole sana mkuu, mimi ukiacha hilo la kava kunyonyoka…. sina uzoefu na magodoro ya hovyo.
 
Inchi 12 Godoro maisha GSM likiwa limefika kigamboni daraja la nyerere popote ndani ya Dsm unaletewa bure tunamaanisha
20210927_182102845.jpg
 
Nipe bei elekezi ya VitaSupreme 5x6x12” Density 28, kumbuka kabla ya kununua huwa najiridhisha mno kwenye bei.[emoji1787][emoji1787]
Usijali mkuu bei zake zinahimilika vizuri 5X6 inchi 12 ni 450000

Na 6X6 inchi 12 545000 tu boss
 
Hizo bei zako unaua bendi.......godoro la 250k unauza 320k ok tuweke na cost za usafiri hahahaha

Nasema wapigwe tu.
 
Mkuu katika magodoro usipojua fake na original utachanganyikiwa na bei pia hapo kuna kila godoro na bei zake

Kama unahitaji za bei ndogo density ndogo karibu pia
 
Back
Top Bottom