Unakopesha?Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
ππππMarehemu analipuka, tuna mpaka miwani ukitaka tunamvalisha
Nakojoooaaaaa... anakwambia eti ukifika mbinguni unaonekana wa kishua.
πππMarehemu kwenda kwa faza God akiwa nadhifuπ
Unapendeza hadi wanauliza..."marehemu amedamshi au hajadamshi"...?Sanda za kisasa zinasaidia nin πππ
Inategemea umekufaje?π€£Asante shingapi
MwanaFA wa sound tu.Tangu lini nyumba ya milele ikakosa kuwekewa mbwembwe na ac?Kaburi halihitaji mbwembwe ndiyo maana hawaweki AC
Habari ndiyo hiyo ......MwanaFA ft AY
Unakufa kishujaa.Unyonge unaachia wafuasi wa legacy.sasa hizo sanda na majeneza mapya ya kidijitali ya nn ?? ukifa umukufa tu
ππππ ukifa, huozi.Sanda za kisasa zinasaidia nin πππ
Zipo.Za zamani ni mishono ya max na zembwela.Na za siku hizi ni "lesi-matirio"!kunΓ sanda za kisasa na kizamani?
Na ukioza hunukππππ ukifa, huozi.
Pamoja duniani sipahala salama pakuishi Bora mbinguniInategemea umekufaje?π€£