Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

Tunauza majeneza na sanda za kisasa... Karibuni sana wateja

Kufa kufaana... Karibu dukani kwetu mtaa wa Kalenga karibu na hospitali ya Taifa ya Muhimbili, njoo tukuuzie masanduku ya kisasa yakawaida na yakidijitali kwa gharama nafuu sana.
Sema biashara sahivi haijachanganya sana, mje mniunge mkono nisije nikafa njaa mkakosa majeneza yakisasa.
Unakopesha?
 
nilikua nauliza iviii veep nikichukua dazani moja ntapata kweli nyongeza......jibu tafadhali
 
Zamani ilikuwa hivi;

1. Huwez pata tangazo la kibiashara la vituo vya afya.

2. Huwez pata tangazo la kibiashara la dawa na vifaa tiba.

3. Huwez pata tangazo la kibiashara la wataalamu wa fani za udaktar na sheria.

Saiz hayo yote hapo juu ni kinyume. Ni vema kila fani ijaribu kuzingatia outstanding ethics, norms and customs.
 
Back
Top Bottom