Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

Tunauza mashamba viwanja Arusha, Boma, Kiteto

Ni wilaya iliyopo ndani ya mkoa wa Manyara imepakana na sehemu za mkoa wa dodoma wilaya ya kondoa, mkoa wa Tanga imepakana na kilindi

Fursa zilizopo kubwa ni kilimo na ufugaji, ardhi ya kule bado bikra sana haijaumizwa na kemikali zinazotumika ktk kilimo, mazao yanayostawi sana ni mahindi, mbaazi, alizeti, maharage, ufuta na mengine Kwa kiasi kidogo

Miundombinu ya usafiri ni mazuri maeneo mengi yanafikika lkn msimu wa masika usafiri siyo rafiki kwa baadhi ya maeneo

Masoko ya mazao kwa sehemu kubwa ni dodoma hasa soko la kibaigwa

Fursa za kibiashara; pembejeo za kilimo Kwa maana ya mbegu, mbolea, dawa za kutibu mifugo(unaweza fungua office au kuzunguka minadani)


Kama Kuna sehemu inakuchanganya ndani ya Kanda ya kaskazini niulize 😁😁nipo hapa shekilango nawasubir
Umetisha sana mkuu itabidi nifanye royal tour huko siku moja
 
Umetisha sana mkuu itabidi nifanye royal tour huko siku moja
Ww tu! Kama utaweza twende msimu wa kuvuna, sio kila siku kidimbwi na kuparty hzo yatch life.....uone matajiri wa pori mtu ana ekari 1000 na ng'ombe 2500 na Hana gari, iphone wa dressing code kali
 
Sisi ni group la madalali waliojikusanya kupigania haki ya mwananchi upate kiwanja /heka yako kihalali unalipia kwa awamu.

Kwa njia hii moja ukipenda kiwanja mahali iwe usa , boma au popote pale arusha , tunaenda kwa mwenye kitu unaandikishwa fomu halafu na barua inayoonyesha mmekubaliana unaanza kulipa nusu na ingine unamalizia kwa miezi au miaka mingapi unaenda kulipa hiyo nusu unaleta kopi kwa mwenye kiti na wewe umebaki na vielelezo vitatu barua kwa mwenye kiti ambayo inasign ya kila mtu , including you mashahidi, na muuzaji , . Hati inabaki kwa mwenye kiti na anaonyesha kila mtu kuwa yeye anayo ukimalizia basi unapewa kihalali na wale waliokuwepo mwanzo wanakuwepo mwishoni karibu uje uone
Hadi USA??
 
Ww tu! Kama utaweza twende msimu wa kuvuna, sio kila siku kidimbwi na kuparty hzo yatch life.....uone matajiri wa pori mtu ana ekari 1000 na ng'ombe 2500 na Hana gari, iphone wa dressing code kali
Ila Ana wake 8 nyumbani 🤣🤣🤣🤣🤣 na masuria wa kutosha
 
Karibuni wateja wetu ,
Tunayo mashamba na viwanja maeneo yafuatayo ,

Kiteto tunayo mashamba kwa bei nafuu inaanza laki saba mpaka ml 1 na laki moja , hayapo mbali na mji huduma zote zakijamii zinapatikana. Zipo za kijijini ni laki 4 tu.
Pi kuna viwanja vipo arusha, boma kwa bei nafuu unalipia kwa awamu . Hotline 0699-22-79-42
Karibuni Wobei za mashamba Kiteto Haezidi laki tatu , unapata kuanzia laki Moja na nusu Hadi laki tatu. Hii Bei yako unapiga sana ndugu. Pori namba Moja Hali ni. Mbaya, mbiri, kisima, London, kimana, kilima mbogo, Ngabolo, mererani, kwa muarabu, njuta, njia panda ya namelock, lala, ilara, langtomoni, , mreno, ,lambs lambogo,, kaza roho, ifugusa, nchinira, ngupa, ,ologine, maliti, ndirigushi, kirashi, fongo
 
Burka mna viwanja?if yes ukubwa na bei ?
Hakuna bossy vilikuwepo kwa sasa hakuna na vilikuwa vinauzwa kwa dola elfu 85 mpaka 100 na pia ila maeneo ya mawala ndio yalikuwa yanauzwa mpaka ml 50 mpaka 60ml
 
Tell me more about kiteto maana napasikiaga tu
Ni wilaya wa Kulima na wafugaji.
Migogoro mingi ya mipaka ni kati ya wakulima na wafugaji, Kuna maeneo mengi ya metengwa Kwa ajili ya malisho, ufugaji nyuki, hifadhi , kuwa makini sana kufuatilia eneo husika.
Bei za mashamba ni Chini ya Tshs Laki tatu Kwa ekari Kwa maeneo yote, kuanzia kasikazini njoro, Ngabolo, lekumaishi , nenda mashariki kuanzia pori , mbiri, kisima , London , kilima mbogo, nenda mashariki Kusini ologine , magungu, songambele, ngipa, kirashi, mbande, maliti, nenda upande wa magharibi ifugusa, kiperesa, changamka, , kazi ngumu, Ilera, lala, langtomoni .
Huko kote unapata kuanzia Kwa Tshs Laki Moja Hadi laki tatu.
 
Habari yako,

Mimi nahitaji eneo kwa ajili ya makazi Arusha, lisiwe limelungua ukubwa wa Ekari Moja (minimum). Bei zikoje?

Na kwa maeneo ya Boma, mnavyo viwanja vya ukubwa gani na kwa bei gani?

Adante
Nipigie
 
Back
Top Bottom