Maadam hatujuani ila kitu kimoja kiko wazi kabisa hapa. Wewe ni dalali bwege haijawahi kutokea aina yako hapa JF. Infact unawaharibia madalali wenzio feki kazi zao.
Huo mtakataka wako huwezi kuuza kwa bei hiyo. Labda uwapate wasukuma waliotokea Charo.
Njoo nikuuzie chuma cha.kisasa kabisa ambacho hakina kutu kwa.nusu ya bei yako.
Acha wizi
๐
Niko registered brela,nalipa kodi na nina ofisi sawa kiongozi sijaanza biashara jana sawa kijana๐
Em punguza makasiriko we mtoto wa kiume tafuta pesa๐
Niko kwenye biashara ya magari mwaka wa 8 huu siwez kataa wakati naanza hii biashara nilianza na udalali lkn kwa sasa sio dalali tena nina ofisi naagiza kwa cash na kwa mkopo pia nina stock yangu ambayo ipo apa apa dsm hakuna aja ya kusubiri muda wa Wiki 4-5 gari ifike...
Na kingne sio kila unachoona ni lazima uchangie jifunze kupuuzia mambo kitu kama auna uhitaji nacho nyamaza tu sio lazima u comment๐
Kingine pesa uwa aijifichi kama mtu ana uhitaji bc lazima atanitafuta tu na namshukur Mungu nimetafutwa na watu zaidi ya 4 wote wa humu humu jamii forum.
TAFUTA PESA KIJANA ACHA MAKASIRIKO๐
Sababu mtu na akili zake timamu aliye kwenye industry ya magari awez shangaa gari la 200,000km kwa gari kubwa na za biashara maana hzo gari naagizaga mpaka za 670,000km na mtu ananunua sababu anajua nn anafanya
Jifunze kupuuzia kitu kama ukijui usijilazimishe ku comment kitu ambacho ukijui kusudi uonekane mjanja kumbe hamna unachojua
Note: Punguza makasiriko tafuta pesa