Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Kwa io unategemea unaweza pata fuso ya 50,000km😂😂😂 c ndio?? ushawai kuagza gari kubwa lakin nisijekuwa nabishana na mtu amby aelewi chochote
Hoja yangu ni wewe kubisha kuwa hilo gari sio used wakati limeshatembea kilometa zaidi ya laki 2.

Mambo ya bei sijagusia...

Na kama nimeshaagiza magari makubwa hilo halikuhusu
 
Hoja yangu ni wewe kubisha kuwa hilo gari sio used wakati limeshatembea kilometa zaidi ya laki 2.

Mambo ya bei sijagusia...

Na kama nimeshaagiza magari makubwa hilo halikuhusu
Gari yoyote inayoagizwa io inajulkana ni used japan bongo mpya..

Ujawai agiza gari kubwa ndio maana unaongea vitu usivyovijua Gari kubwa zipo mpaka za 350000 na mtu anaagiza anatumia kwa biashara
 
Hoja yangu ni wewe kubisha kuwa hilo gari sio used wakati limeshatembea kilometa zaidi ya laki 2.

Mambo ya bei sijagusia...

Na kama nimeshaagiza magari makubwa hilo halikuhusu
ukiagiza hii ww c utapiga kelele humu

E4A03A88-2DF5-4FC1-AC73-AB0D447C05F2.jpeg
 
ukiagiza hii ww c utapiga kelele humu

View attachment 2220739
Maadam hatujuani ila kitu kimoja kiko wazi kabisa hapa. Wewe ni dalali bwege haijawahi kutokea aina yako hapa JF. Infact unawaharibia madalali wenzio feki kazi zao.

Huo mtakataka wako huwezi kuuza kwa bei hiyo. Labda uwapate wasukuma waliotokea Charo.

Njoo nikuuzie chuma cha.kisasa kabisa ambacho hakina kutu kwa.nusu ya bei yako.

Acha wizi
 
Babuuu punguza hasira...[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Maadam hatujuani ila kitu kimoja kiko wazi kabisa hapa. Wewe ni dalali bwege haijawahi kutokea aina yako hapa JF. Infact unawaharibia madalali wenzio feki kazi zao.

Huo mtakataka wako huwezi kuuza kwa bei hiyo. Labda uwapate wasukuma waliotokea Charo.

Njoo nikuuzie chuma cha.kisasa kabisa ambacho hakina kutu kwa.nusu ya bei yako.

Acha wizi
😅 Niko registered brela,nalipa kodi na nina ofisi sawa kiongozi sijaanza biashara jana sawa kijana😀

Em punguza makasiriko we mtoto wa kiume tafuta pesa😅

Niko kwenye biashara ya magari mwaka wa 8 huu siwez kataa wakati naanza hii biashara nilianza na udalali lkn kwa sasa sio dalali tena nina ofisi naagiza kwa cash na kwa mkopo pia nina stock yangu ambayo ipo apa apa dsm hakuna aja ya kusubiri muda wa Wiki 4-5 gari ifike...

Na kingne sio kila unachoona ni lazima uchangie jifunze kupuuzia mambo kitu kama auna uhitaji nacho nyamaza tu sio lazima u comment😄

Kingine pesa uwa aijifichi kama mtu ana uhitaji bc lazima atanitafuta tu na namshukur Mungu nimetafutwa na watu zaidi ya 4 wote wa humu humu jamii forum.

TAFUTA PESA KIJANA ACHA MAKASIRIKO😅
Sababu mtu na akili zake timamu aliye kwenye industry ya magari awez shangaa gari la 200,000km kwa gari kubwa na za biashara maana hzo gari naagizaga mpaka za 670,000km na mtu ananunua sababu anajua nn anafanya

Jifunze kupuuzia kitu kama ukijui usijilazimishe ku comment kitu ambacho ukijui kusudi uonekane mjanja kumbe hamna unachojua

Note: Punguza makasiriko tafuta pesa
 
Mtu anatoa macho kwa 200,000KM kwa gari kubwa?! kweli watu wakizoea tumia gari ndogo ni shida.

inajulikana wazi na haina ubishi Bongo gari toka JAPAN tunaita JIPYAAA sasa mnamshambulia muuzaji kisa kasema gari jipya ni akili au usongo wa mawazo?

Hiyo gari ndio namsaidia kusema ni JIPYA, ana haki kabisa wala hajakosea aliposema hilo gari ni JIPYA ndio ni jipya,nani mbishi?

Fanya biashara yako Boss,hizi watu za JF zinazojifanya magari mapya kwao ni 0KM achana nazo,utapasuka kichwa ukijibizana nao, soma tu comment zao kisha pita na 50 zako.
 
Back
Top Bottom