Mtu anatoa macho kwa 200,000KM kwa gari kubwa?! kweli watu wakizoea tumia gari ndogo ni shida.
inajulikana wazi na haina ubishi Bongo gari toka JAPAN tunaita JIPYAAA sasa mnamshambulia muuzaji kisa kasema gari jipya ni akili au usongo wa mawazo?
Hiyo gari ndio namsaidia kusema ni JIPYA, ana haki kabisa wala hajakosea aliposema hilo gari ni JIPYA ndio ni jipya,nani mbishi?
Fanya biashara yako Boss,hizi watu za JF zinazojifanya magari mapya kwao ni 0KM achana nazo,utapasuka kichwa ukijibizana nao, soma tu comment zao kisha pita na 50 zako.