Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Mtu anatoa macho kwa 200,000KM kwa gari kubwa?! kweli watu wakizoea tumia gari ndogo ni shida.

inajulikana wazi na haina ubishi Bongo gari toka JAPAN tunaita JIPYAAA sasa mnamshambulia muuzaji kisa kasema gari jipya ni akili au usongo wa mawazo?

Hiyo gari ndio namsaidia kusema ni JIPYA, ana haki kabisa wala hajakosea aliposema hilo gari ni JIPYA ndio ni jipya,nani mbishi?

Fanya biashara yako Boss,hizi watu za JF zinazojifanya magari mapya kwao ni 0KM achana nazo,utapasuka kichwa ukijibizana nao, soma tu comment zao kisha pita na 50 zako.
Afadhar mkuu em nisaidie ww gari kubwa sio gar ndogo ndio tushazoea km 80,000 ,60000 sasa mm navyomwambia ananiletea makasiriko 😂
 
😅 Niko registered brela,nalipa kodi na nina ofisi sawa kiongozi sijaanza biashara jana sawa kijana😀

Em punguza makasiriko we mtoto wa kiume tafuta pesa😅

Niko kwenye biashara ya magari mwaka wa 8 huu siwez kataa wakati naanza hii biashara nilianza na udalali lkn kwa sasa sio dalali tena nina ofisi naagiza kwa cash na kwa mkopo pia nina stock yangu ambayo ipo apa apa dsm hakuna aja ya kusubiri muda wa Wiki 4-5 gari ifike...

Na kingne sio kila unachoona ni lazima uchangie jifunze kupuuzia mambo kitu kama auna uhitaji nacho nyamaza tu sio lazima u comment😄

Kingine pesa uwa aijifichi kama mtu ana uhitaji bc lazima atanitafuta tu na namshukur Mungu nimetafutwa na watu zaidi ya 4 wote wa humu humu jamii forum.

TAFUTA PESA KIJANA ACHA MAKASIRIKO😅
Sababu mtu na akili zake timamu aliye kwenye industry ya magari awez shangaa gari la 200,000km kwa gari kubwa na za biashara maana hzo gari naagizaga mpaka za 670,000km na mtu ananunua sababu anajua nn anafanya

Jifunze kupuuzia kitu kama ukijui usijilazimishe ku comment kitu ambacho ukijui kusudi uonekane mjanja kumbe hamna unachojua

Note: Punguza makasiriko tafuta pesa
Ishu ndogo maneno mengi. Wala sijahitaji kujua CV yako. Swali langu lilikuwa dogo tu.... Gari la 1998 lililotembea kilometa laki 2 sio used?

CV yako wape wajinga ambao hawajui namna ya kuagiza magari used wakidanganywa ni mapya.

Sasa jibu swali Acha mbwembwe
 
Mtu anatoa macho kwa 200,000KM kwa gari kubwa?! kweli watu wakizoea tumia gari ndogo ni shida.

inajulikana wazi na haina ubishi Bongo gari toka JAPAN tunaita JIPYAAA sasa mnamshambulia muuzaji kisa kasema gari jipya ni akili au usongo wa mawazo?

Hiyo gari ndio namsaidia kusema ni JIPYA, ana haki kabisa wala hajakosea aliposema hilo gari ni JIPYA ndio ni jipya,nani mbishi?

Fanya biashara yako Boss,hizi watu za JF zinazojifanya magari mapya kwao ni 0KM achana nazo,utapasuka kichwa ukijibizana nao, soma tu comment zao kisha pita na 50 zako.
Kwahiyo gari ikitembea kilometa laki 2 sio used? Kumbe kweli wewe ni tapeli. Nilikuwa nakutetea kimakosa
 
😂😂😂😂una stress za mapenzi au shida nn au ndo bei ya mafuta inakuchanganya
 
Mitsubish Fuso || Fighter Fk
Year 1998
Flat body
4000kg
206,000kilometre
Drives 4x2
Leaf Suspension
Cabin width Standard
Cabin type Long
6MT Popular
Fuel Diesel
Engine model 6D16

Bei kamili ni 86,930,010Million pekee bei hii ni pamoja na usajiri

⚡️Mkopo lipa 50,000,000Million nyingne ulipe kidogo kidgo ndani ya miez 12

Call/whatsapp
0769177042

View attachment 2219922

View attachment 2219923

View attachment 2219924

View attachment 2219925

View attachment 2219926

View attachment 2219927

View attachment 2219928

View attachment 2219929

View attachment 2219930
nikopeshe hii chuma mkuu ila sina nata mia ya kuanzia
 
Ipo good hii chuma
 
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.

TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi

●gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu

●muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama tipper,truck,coaster,hiace, buss n.k.ni miezi 12+6

●mteja atawasilisha passport size,Tin namba,kitambulisho cha Nida au cha kula kwaajili ya usajili wagari lako.

●utaondoka na gari lako baada tu yakusajiliwa na kufungwa car track&bima.

■ofisi ipo magomeni usalama na vingunguti

Mawasiliano
0769177042

12A9FB16-6DC1-4047-A69D-3F8E41ED14B0.jpeg
 
Nipigie mkuu tu maana nishajielezea pitia post za juu utaona kama una uhitaji bc n lzm utanipigia
Mzee,

Mimi sijaona ambapo umeeleza
Direct anuani ya ofisi , ila umeleeza tuu kwamba mpo magomeni usalama na mikocheni.

Sasa magomeni / mikocheni maneneo ni mapana sana. Pia tungependa kuona stock ambazo mnazo tayari hapa kama ambavyo umetuelezea mleta mada
( picha )

Hii itasaidia sana.
 
Kwahiyo gari ikitembea kilometa laki 2 sio used? Kumbe kweli wewe ni tapeli. Nilikuwa nakutetea kimakosa
Sihitaji kutetewa na wewe, kuna siku au mahali nilikutumia kadi ya mwaliko uniteteee

unanitetea kwa kipi na kwa lipi? who are you? unaemtetea unamjua au shobo mdundo?

yes niite Tapeli, ukipenda niite CONTROLA man of the match, sijibugi wapumbavu ila

nimekujibu kidogo hii ili ujue kuwa huwa mimi sio mkimya au mpole naongea naandika halafu

zaidi ukizingua nakuzingua,am not that easy panadol so kuwa makini unapo quote maandishi yangu

sijawahi ku quote andishi lako ila muwasho uliokugusa ukakupelekea kuni quote,stay calm sister

sipo kama unavyofikiri "am rude" so kuwa makini mno kabla sijakutaftia MUME maana you seems like uko horny na kitu ikuguse mahala.

Call me kontrola, au Mwenyekiti wa Matapeli as your heart pleased to call me that way. Take care.
 
Ishu ndogo maneno mengi. Wala sijahitaji kujua CV yako. Swali langu lilikuwa dogo tu.... Gari la 1998 lililotembea kilometa laki 2 sio used?

CV yako wape wajinga ambao hawajui namna ya kuagiza magari used wakidanganywa ni mapya.

Sasa jibu swali Acha mbwembwe
Acha uhaya wa kishamba we sister duu,bichwa kubwa akili kisoda

usichoelewa hapo ni kipi gari used JAPAN bongo ni mang'anyuu yani jipya?

Unajitia kukaza fuvu tu,ungekua around watu ka nyie mafuvu yenu tunachemshiaga supu

halafu tunamwaga chooni maana hata mmea haufai kupata mbolea ya fuvu lako,mnyama yeyote hafai nyweshwa supu itokanayo na mwili wako anaeza Paralyze.

Acha kuleta Uhaya wako wa kishamba,unajua agiza gari kwanini usilifate JAPAN ukaja nalo?...

Mwenye mbwembwe ni wewe mshamba mmoja hivi,Bchwa kontena akili kret...
 
😂😂😂😂😂Lbd ana stress mwenzetu tusimlaumu sana ila mwenye akili anaelewa nn tunazungumza
 
Kwa io unategemea unaweza pata fuso ya 50,000km[emoji23][emoji23][emoji23] c ndio?? ushawai kuagza gari kubwa lakin nisijekuwa nabishana na mtu amby aelewi chochote
Wewe ndio hujui watu hizo km zinaongezwa au kupunguzwa alafu unajifanya unajua biashara ya Magari wewe wa ajabu kweli kweli wewe
 
[emoji28] Niko registered brela,nalipa kodi na nina ofisi sawa kiongozi sijaanza biashara jana sawa kijana[emoji3]

Em punguza makasiriko we mtoto wa kiume tafuta pesa[emoji28]

Niko kwenye biashara ya magari mwaka wa 8 huu siwez kataa wakati naanza hii biashara nilianza na udalali lkn kwa sasa sio dalali tena nina ofisi naagiza kwa cash na kwa mkopo pia nina stock yangu ambayo ipo apa apa dsm hakuna aja ya kusubiri muda wa Wiki 4-5 gari ifike...

Na kingne sio kila unachoona ni lazima uchangie jifunze kupuuzia mambo kitu kama auna uhitaji nacho nyamaza tu sio lazima u comment[emoji1]

Kingine pesa uwa aijifichi kama mtu ana uhitaji bc lazima atanitafuta tu na namshukur Mungu nimetafutwa na watu zaidi ya 4 wote wa humu humu jamii forum.

TAFUTA PESA KIJANA ACHA MAKASIRIKO[emoji28]
Sababu mtu na akili zake timamu aliye kwenye industry ya magari awez shangaa gari la 200,000km kwa gari kubwa na za biashara maana hzo gari naagizaga mpaka za 670,000km na mtu ananunua sababu anajua nn anafanya

Jifunze kupuuzia kitu kama ukijui usijilazimishe ku comment kitu ambacho ukijui kusudi uonekane mjanja kumbe hamna unachojua

Note: Punguza makasiriko tafuta pesa

Naomba kufunzwa biashara ya magari?
 
Umekosea sana hapa!!.. Vyovyote ilivyo jamaa kaongea ukweli kabisa sasa wewe ungekua kweli unafanya biashara hii Kwa muda mrefu usingekuja hapa kubishana na kushambulia!!..Sasa hivi kila mtu anajua kuagiza magari Rafiki hizo bei ulizo weka ni za madalali hawajui bei zikoje na hawa miliki Magari!!!..
 
Back
Top Bottom