Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Car4Sale Tunauza na kukopesha magari

Nahitaji Shacman mkuu.
Tuwasiliane boss.
Screenshot_2022-05-02-22-07-25-099_com.whatsapp.jpg
 
Habari hermanj820 ,

Ahsante kwa taarifa, kabla ya kwenda mbele zaidi, naomba kujua haya!

Sababu kwaajili ya afya ya BIASHARA , kuna mambo ulipaswa kuyaweka wazi sana ili kuondoa "sintofahamu" ama wasiwasi.

1. JINA

Nilitegemea , ungeanza na utambulisho wakututajia kampuni yenu inatwaje, imesajiliwa na kuanza kazi lini n.k

Profile yako ya hapa Jamii forums, ilipaswa kuwa na jina la kampuni yako/yenu tena pamoja na bluetick!

2. PICHA

Picha za/ya ofisi yenu na stock ambazo zipo ofisini kwenu tayari. Maana hapa tunachoona, ni stock units ambazo zipo Enhance autos JAPAN, n.k Hatujaona ambazo umetuaminisha kwamba zipo ofisini kwenu.

3. ANUANI

umeeleza tu kwamba, ofisi iko mikocheni na magomeni usalama, lakini haujatuelezea kwa kina / vizuri kwasababu maeneo uliyoyataja ni mapana / makubwa.

haujataja specific eneo ambalo ofisi zenu zilipo, ikiwa na maana , jengo mlilopo, floor ya ngapi, chumba number etc.

Naomba utusaidie ufafanuzi katika haya machache kwanza , kisha ndipo tuendelee mbele!

NOTE :

SISEMI KWA NIA MBAYA, ILA NI KWA NIA NJEMA KABISA.
 
Vanguard hadi kutoa hapa Dar inafika kwa Mil 25 tu, ww umetoa wapi hizo bei zako?

Japan Vanguard unapata hadi FOB $ 3,500, CIF Dar 5,000 na kulipia all taxes unapata kwa tshs 25 mil mkononi. Mna idea nzuri ya kukopesha magari, ila bei mmezidisha mno.

View attachment 2213896
Mkuu vanguard sa hz n 2009 bei 6324 Cif cha kwanza icho

Pili ushuru uko juu nadhan unajua ulivo

Cif 6324 ukipiga kwa usd ya sasa 2330
14,734,920

Ushuru vanguard 2009 ni 15,312,916

Total inakuja 30,047,836

Apo bado clearing 1,200,000Million

Jumla 31,247,836Million apo ni umeagiza mwenyewe kwa cash yako

Tuchukulie 2012
CIF MPK TZ N 17,409,760Million

Ushuru ni 19,585,720

Total 36,995,480Million

Weka clearing + Faida ya ofisi bei gan

Vanguard hadi kutoa hapa Dar inafika kwa Mil 25 tu, ww umetoa wapi hizo bei zako?

Japan Vanguard unapata hadi FOB $ 3,500, CIF Dar 5,000 na kulipia all taxes unapata kwa tshs 25 mil mkononi. Mna idea nzuri ya kukopesha magari, ila bei mmezidisha mno.

View attachment 2213896

Vanguard hadi kutoa hapa Dar inafika kwa Mil 25 tu, ww umetoa wapi hizo bei zako?

Japan Vanguard unapata hadi FOB $ 3,500, CIF Dar 5,000 na kulipia all taxes unapata kwa tshs 25 mil mkononi. Mna idea nzuri ya kukopesha magari, ila bei mmezidisha mno.

View attachment 2213896

Vanguard hadi kutoa hapa Dar inafika kwa Mil 25 tu, ww umetoa wapi hizo bei zako?

Japan Vanguard unapata hadi FOB $ 3,500, CIF Dar 5,000 na kulipia all taxes unapata kwa tshs 25 mil mkononi. Mna idea nzuri ya kukopesha magari, ila bei mmezidisha mno.

View attachment 2213896

Oooh!! Sawa mkuu

Interest n 3% pekee sio kubwa wala na aimuumizi mteja kwa hali yyt ile naamin ilo.

Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track

Gharama ya bima kubwa pia tumeijumuisha kwenye bei kwa kila gari.

Gari inatumika mkoa wowote isitoke tu nje ya Tanzania.

Mikataba yetu ni ya uhakika na ya usalama zaidi huku tukizingatia hatua zote za kisheria.

Pia kwa yoyote anayetaka kuwa anaona mzigo/stock mpya ya magari anaweza kuni dm akanitumia whatsapp number yake[emoji1431]
Interest yenu ni nafuu sana aisee.
 
Naomba maelezo ya Toyota ractis kwa kutanguliza (kulipia) 35% na marejesho kwa miaka miwili na pia mwaka mmoja yani nitangulize 50%
 
  • Thanks
Reactions: JGH
UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.

TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi

●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu

●muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama tipper,truck,coaster,hiace, buss n.k.ni miezi 12+6

●Mteja atawasilisha passport size,Tin namba,kitambulisho cha Nida au cha kula kwaajili ya usajili wagari lako.

●Utaondoka na gari lako baada tu yakusajiliwa na kufungwa car track&bima.

■ofisi ipo mikocheni na magomeni usalama Dsm.
■pia kama unauza gari lako au unahitaji gari tupo kwaajili yako.

View attachment 2204644

View attachment 2204645

View attachment 2204646

View attachment 2204647
Pro box succeed mnakopesha kwa tsh ngapi?
 
Oooh!! Sawa mkuu

Interest n 3% pekee sio kubwa wala na aimuumizi mteja kwa hali yyt ile naamin ilo.

Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track

Gharama ya bima kubwa pia tumeijumuisha kwenye bei kwa kila gari.

Gari inatumika mkoa wowote isitoke tu nje ya Tanzania.

Mikataba yetu ni ya uhakika na ya usalama zaidi huku tukizingatia hatua zote za kisheria.

Pia kwa yoyote anayetaka kuwa anaona mzigo/stock mpya ya magari anaweza kuni dm akanitumia whatsapp number yake[emoji1431]
Nafikiri hizi details ungeziweka juu kabisa, mana wenginewavivu wa kusoma comment.
 
Back
Top Bottom