Tsn motors
Member
- Dec 23, 2017
- 70
- 160
- Thread starter
- #21
Coaster kwa sasa gharama zimepanda kutoka 60Million mpaka 70MillionHebu weka gharama za coaster
Hivo 50% utalipa 35Million inayobak utalila kidogo kidgo ndani ya miez 12
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Coaster kwa sasa gharama zimepanda kutoka 60Million mpaka 70MillionHebu weka gharama za coaster
Gari zimepanda bei mkuu hv usishangae kama vanguard sa hz 45Million na kluger 29Million hapo hamna cha ajabuPrices are over the roof.. Wish new model 20 mil?
Gari zimepanda bei mkuu hv usishangae kama vanguard sa hz 45Million na kluger 29Million hapo hamna cha ajabu
Mkuu vanguard sa hz n 2009 bei 6324 Cif cha kwanza icho
Vanguard hadi kutoa hapa Dar inafika kwa Mil 25 tu, ww umetoa wapi hizo bei zako?
Japan Vanguard unapata hadi FOB $ 3,500, CIF Dar 5,000 na kulipia all taxes unapata kwa tshs 25 mil mkononi. Mna idea nzuri ya kukopesha magari, ila bei mmezidisha mno.
View attachment 2213896
|
Nipigie mkuu tu maana nishajielezea pitia post za juu utaona kama una uhitaji bc n lzm utanipigiaMleta mada vipi, mbona swali langu hapo haujajibu?
Au ndio hadi pm ?
Tuweke vyote hapa, hamna haja ya pm.
Interest yenu ni nafuu sana aisee.Oooh!! Sawa mkuu
Interest n 3% pekee sio kubwa wala na aimuumizi mteja kwa hali yyt ile naamin ilo.
Gharama za tracking device tunapokupa bei inakuwa imepigiwa umo umo ila kawaida bei yake ni 250,000Tsh pekee na gharama ya kila mwezi n 3,000pekee ivo kwa miez 12 utalipia 36,000Tsh ya track
Gharama ya bima kubwa pia tumeijumuisha kwenye bei kwa kila gari.
Gari inatumika mkoa wowote isitoke tu nje ya Tanzania.
Mikataba yetu ni ya uhakika na ya usalama zaidi huku tukizingatia hatua zote za kisheria.
Pia kwa yoyote anayetaka kuwa anaona mzigo/stock mpya ya magari anaweza kuni dm akanitumia whatsapp number yake[emoji1431]
Ndio mkuuInterest yenu ni nafuu sana aisee.
Pro box succeed mnakopesha kwa tsh ngapi?UNAWEZA UKANUNUA KWA CASH AU MKOPO.
TARATIBU ZA KUPATA MKOPO WA GARI NI KWA CHASIS NUMBER TU.
●mteja utalipa 50%ya pesa kama utangulizi
●Gari lazima ikatwe bima kubwa&car track(gprs)ndio Dhamana yetu
●muda wamkopo kuanzia miezi3,6,9,12 kwa magari madogo ama binafsi,kwa magari ya biashara kama tipper,truck,coaster,hiace, buss n.k.ni miezi 12+6
●Mteja atawasilisha passport size,Tin namba,kitambulisho cha Nida au cha kula kwaajili ya usajili wagari lako.
●Utaondoka na gari lako baada tu yakusajiliwa na kufungwa car track&bima.
■ofisi ipo mikocheni na magomeni usalama Dsm.
■pia kama unauza gari lako au unahitaji gari tupo kwaajili yako.
View attachment 2204644
View attachment 2204645
View attachment 2204646
View attachment 2204647
18,500,000Million bossNissan xtrail model ya 2008 ni kiasi gani?
16,500,000MillionPro box succeed mnakopesha kwa tsh ngapi?
Nafikiri hizi details ungeziweka juu kabisa, mana wenginewavivu wa kusoma comment.Oooh!! Sawa mkuu