Tsn motors
Member
- Dec 23, 2017
- 70
- 160
- Thread starter
- #41
RACTICSNaomba maelezo ya Toyota ractis kwa kutanguliza (kulipia) 35% na marejesho kwa miaka miwili na pia mwaka mmoja yani nitangulize 50%
Total 15.5M
35% 6,500,000Million
inabaki 9,000,000Million
Lipa miez 24
Kila mwezi rejesho 425,000Tsh
50% 7,750,000Million
Inabaki 7,750,000
Lipa miez 12
725,000Tsh kila mwezi
Riba 3%
Tracking fee kila mwezi ni 3,000Tsh
Gprs tracking kufunga 250,000Tsh
Note: Gari lazima ikatiwe bima kubwa
Utawasilisha tin number yako,picha za passport size pia kitambulsho kimojawapo kati ya leseni,nida au cha mpiga kura
Gari lazima ikatiwe bima kubwa pamoja na cartrack(Gprs)
Muajiriwa
Picha 3
Kitambulisho cha uraia
Kitambulisho cha mtu wa karib
Salary slip za miez 3
Kopi ya mkataba wa ajira
Bank statement ya miez 6
Barua ya serikal ya mitaa