Inapatikana –Mtaa wa Mosque , Posta.
Nyumba ina jiko lenye makabati, mahala pa kula, subule, choo, bafu na vyumba viwili vya kulala. Ni nadra sana kupata sokoni nyumba kama hii ikiuzwa bei kama hiyo Dar city centre fursa kama hizi utokea mara chache sana.
Umeipenda? Wasiliana nami kwa sms, whatsapp au kwa kupiga simu. Pia zinazo nyumba nyingine na viwanja vinavyouzwa maeneo ya Upanga pamoja maeneo mengine ya jiji. Pia hata kama una nyumba au kiwanja unakiuza wasiliana name nikutangazia katika tovuti yetu ya Nyumba na Viwanja bureeee! +255784225000.
NOTE.
Hii apartment a.k.a nyumba ya ghorofani ipo katika Makazi bora zaidi yaliyopo katika maeneo yanayoloruhusu wakazi kufikia maeneo ya umma, fursa za ajira, huduma za afya, shule, vituo vya kulelea watoto na maeneo mingine muhimu ya kijamii kirahisi. Ipo katika kitovu cha jiji la Biashara. Miliki nyumba hii kwa matumizi ya kuishi na ukiwa utaifanya kama kitegauchumi basi utakosa kodi isiyopungua TSHS 700,000 kwa mwezi.
View attachment 1837589