Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh....hahahahMkuu hiyo bei upo serious au??
Nahisi anamaanisha Alphard mbili sio moja.Mkuu hiyo bei upo serious au??
Mkuu Kitomai unaeza uza hiyo Alphard ikiwa tu utaeleza hiyo Alphard unayouza 38M ina tofauti gani na Alphard nyingine zinazouzwa hadi 16M. Kwa kufanya hvy utaeza kumshawishi mnunuzi.2008 pearl white Powerdoor sunroof push start back camera aftermarket rims 38 million
Kuioa piga sims 0784225000
View attachment 1832835
View attachment 1832831
View attachment 1832832
View attachment 1832833
View attachment 1832834
View attachment 1832836
View attachment 1832837
View attachment 1832838
View attachment 1832839
View attachment 1832840
Nadhani ungeonyesha na jengo lenyewe kwa nje ambamo ipo hiyo appartment ingesaidia.Inapatikana –Mtaa wa Mosque , Posta.
Nyumba ina jiko lenye makabati, mahala pa kula, subule, choo, bafu na vyumba viwili vya kulala. Ni nadra sana kupata sokoni nyumba kama hii ikiuzwa bei kama hiyo Dar city centre fursa kama hizi utokea mara chache sana.
Umeipenda? Wasiliana nami kwa sms, whatsapp au kwa kupiga simu. Pia zinazo nyumba nyingine na viwanja vinavyouzwa maeneo ya Upanga pamoja maeneo mengine ya jiji. Pia hata kama una nyumba au kiwanja unakiuza wasiliana name nikutangazia katika tovuti yetu ya Nyumba na Viwanja bureeee! +255784225000.
NOTE.
Hii apartment a.k.a nyumba ya ghorofani ipo katika Makazi bora zaidi yaliyopo katika maeneo yanayoloruhusu wakazi kufikia maeneo ya umma, fursa za ajira, huduma za afya, shule, vituo vya kulelea watoto na maeneo mingine muhimu ya kijamii kirahisi. Ipo katika kitovu cha jiji la Biashara. Miliki nyumba hii kwa matumizi ya kuishi na ukiwa utaifanya kama kitegauchumi basi utakosa kodi isiyopungua TSHS 700,000 kwa mwezi.
View attachment 1837589