[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikienda bagamoyo nanunua shamba heka 200, najenga nyumba na gari nanunua.......hahhahah nakutanianmkuu, si unajua akili za kimasikini
Ohoooo!!!Kama ndo unaanza udalali kajifue upya aisee
Kwa muonekano tu, hiyo itakuwa ni tani 2 spring juu!!Ni tani ngapi?
Na Je spring zake ni mzigo juu au chini?
Milion 6 cashMITSUBISH CANTER INAUZWA DAR ES SALAAM.
Model ya 2001, Tani 2, no BMU, Diesel, injini 4M51A, Ipo katika hali nzuri/inambea. Haina changamoto. Melewano yapo kidogo. Gari ipo katika hali nzuri sana. Ipo Upanga njoo uikague. Bei sasa ni 15 MIL. Mawasiliano +255784225000.
View attachment 1882528View attachment 1882530
Wanataka wapangaji watoke vigimbi.Unalipa miezi mingapi,halafu ghorofa zote hizo na hamna lift haya masikhara