Cannabis
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 11,557
- 33,535
Sipatii picha ndio umenunua kreti za bia, unataka uzipandishe🤣Wanataka wapangaji watoke vigimbi.
Hizo ngazi ukishuka hadi chini chupi inakuwa tayari imelowa jasho.!
Mleta mada wekani Kodi hata iwe laki moja,maana Ni adhabu kupanda ngazi hadi 5th floor.!