mwakyindi
JF-Expert Member
- May 7, 2018
- 1,599
- 2,192
ππππππAahahahahahaa ila wanaume....!
Mna roho ya pekee kabisa, mbio kuja kununua mchepuko wa mwenzio....!ππππππ
Of course itβs more of a joke...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππAahahahahahaa ila wanaume....!
Mna roho ya pekee kabisa, mbio kuja kununua mchepuko wa mwenzio....!ππππππ
Of course itβs more of a joke...
Duuh wewe mrembo unanifanya nijisikie kamili kamili yaani.
Hayo mambo ya wifi yanakujaje hapa aisee??Heeeeh...!!!
Basi wifi leo atakufurahia sana, uwahi kurudi nyumbani sasa, umpelekee na zawadi.
Hayo mambo ya wifi yanakujaje hapa aisee??
Mimi nazungumzia hisia zangu kwako.
Na ndio unachopaswa kukizingatia zaidi.
Ushaona fursa sasa, hiyo njia ya kuanza mahusiano, Kaa mkao makini yawezekana huyo ni ME na sio KEDuuh wewe mrembo unanifanya nijisikie kamili kamili yaani.
Bado sijakuelewa.Nilikuwa nakutoa kwenye reli kumbe hutaki kutoka....!
Basi ngoja nitoke mimi....
Mimi ni mchepuko halali wa Babu, jiandae na varangati baada ya hapa maana hataki kabisa mali zake zizengwe zengwe...π
Kasie Kaa mguu sawa, waangalie ukiwapa nafasi kdg tu, ushakatibisha mtongozano, Hali najua wewe ni ME na sio KE
Ngoja kwanza tuahirishe hili jambo kidogo. Maana leo ni zamu yangu kupiga deki korido za Lumumba.Via miwani basi tuelewane kidogo.
Ngoja kwanza tuahirishe hili jambo kidogo. Maana leo ni zamu yangu kupiga deki korido za Lumumba.
Aise nimeona sasa ninajaribu kufanya edit ya kichwa cha habari. Nikibpfya edit naweza ku edit contents lakini kichwa cha habari inashindikana naomba msaada hapoNi Milioni 690 sio Milioni 690,000,000
Au andika ni Sh 690,000,000
maana kiwango ulichoandika unaweza kununua nyumba zote za Dar
Kwa mujibu wa ALEXA, JF ndio mtandao nambari moja unatembelewa na watu wengi zaidi hapa Tanzania( Hii inanganishwa na tovuti nyingine za local). hizo tano juu yale ni za kigeni. Sasa unaachaje kwa mfano kutotangaza katika tovuti kama hii!!!! Wanunuzi wa nyumba kama hizi wao wanapiga simu moja kwa moja na kuanzisha mazungumzo.Jamii forums hamna mtu wa kununua nyumba ya hela hiyo, hapo kinachouzwa ni umaarufu wa eneo. Nikienda chanika nyumba ya milion 100 ni bonge la nyumba najenga.