Hebu nielekeze kitu, hii apartment ipo ghorofani huko, ina maana chini yake kuna ahorofa ingine na pengine juu yake zipo zingine. Swali langu ni je hao wengine wakiamua kuvunja ghorofa zao mmiliki wa apartment hii inakuwaje?
 
Ina vyumba vinne vya kulala, jiko, sebule, mahala pa kula na ina nafasi mbele kwa ajili ya biashara. Bei Milioni 18. Maongezi yapo. Kuiona tuwasiliane kwa simu 0755312233.

 
Nina wasiwasi kama ni nyumba, yaani kijichi, nyumba ya ukubwa huo kwa M18 ,na maongezi yapo, mbona inatia mashaka.

Hebu tuma picha nyingi zinazoendana na ulichoandika hapo
 
Mbona Nyumba yenyewe unaogopa kuweka picha yake?

Inaonekana hata wewe muuzaji hujaipenda hiyo Nyumba.

😀😀
 
Sema tu unauza kiwanja chenye pagale yaishe
 
Yan picha utafikili kapiga mpita njia kumbe ndo muuzaji weka picha za kutosha mtu aone biashala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…