raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 11,504
- 35,520
Aisee 100 huwezi pata nyumba ka hiyo ambayo imefanyiwa mpaka finishing. The house is damn good....Sijajua ukubwa wa eneo ila ukipata 100 chukua mkuu
Nikiwatukanaga watu kama hawa naonekana niko harsh sana. Sasa hapo kuna land cruiser pichani?Mguu pepsi kichwa mirinda
Koomma kweli huyu jamaaπππHio landcruiser ipo wapi?
Alitaka kukamata view tu msengerema huyu πππ imenibidi nicheke maana huo ushenzi wa gari nisingeufungua kabisa.Hii ni land cruiser ??
Mleta mada badilisha kichwa cha post yako
[emoji23][emoji23]Alitaka kukamata view tu msengerema huyu [emoji16][emoji16][emoji16] imenibidi nicheke maana huo ushenzi wa gari nisingeufungua kabisa.
Ameona WaTz hampendi magari madogo mnapenda makubwa[emoji23]Hii ni miongoni mwa cruiser za bei poa kuwahi kutokea.
Ameona WaTz hampendi magari madogo mnapenda makubwa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mguu pepsi kichwa mirinda