Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kama hukati na unauza lote kwann umetaja bei kwa heka? Kwanini usitaje bei ya shamba lote, ni vile unaona kubwa sana mkuu hata wewe umeogopa kuiandika
Hahaa ngoja ila unaweza kunipa idadi ya heka unazo taka nijaribu kuongea na mwenyewe
 
Hivi Serikali haina utaratibu wa kununua Mali kama hz?
 
Hivi Serikali haina utaratibu wa kununua Mali kama hz?
Wao wanachojua ni kodi tu
Watu wanataka serikali isifanye biashara ninyi mnataka inunue biashara zilizo feli?
Huoni picha zinaonesha shamba limetelekezwa?

Kilimo cha namna hiyo maeneo mengi ya Tanzania bado sana muda wake, unapata hasara tu au unaifurahisha nafsi yako ukiona mifugo na mazao ya shambani.

Nunua kama asset usubirie wawekezaji wakubwa au toka nje upige faida kubwa sana. Lakini liquidity yake siyo ya fast cash unapokuwa na shida ya haraka ya cash.
 
pamoja na vitu vyote vilivyopo ndani ya shamba bado bei yake ya kuuzia kwa heka moja ni Tsh 2m. Fafanua. Tractor ipo kwa hii bei ya per hectare?
 
Njia nyingine ya kuliuza kwa urahisi, kopea fedha bank, ukishindwa watalipiga mnada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…