Title Deed ipo.
Shamba la Ukubwa wa (Hekari 630) linauzwa lipo Kabuku TANGA umbali wa KM 7 kutoka Main Road, barabara inapitika gari zote mpaka Malori na lina Mazao kama ifuatavyo;
1. Miembe ya kisasa heka 200,
2. Michungwa heka 15,
3. Miti ya Mitiki heka 10,
4. Nyumba ya kuishi yenye vyumba vitatu, store, jiko na sitting room,
5. Nyumba ya Kuishi wa fanya Kazi,
6. Mabanda ya kufuga ng,ombe,
7. Machine ya ku process majani ya ng'ombe,
8. Josho la ng'ombe,
9. Machine ya kuspray dawa kwenye miti ya maembe,
10. Mabanda ya kufuga kuku,
11. Mizinga ya nyuki,
12. Kuna magodown ya kitunzia mazao,
13. Matank ya maji ya Dawasco,
14.Tank la Lita 200,000 special kuvuna maji ya Mvua,
15. Maji ya bomba,
16. Matrekta matatu (3),
17. Visima vya maji shamba,
18. Umeme wa Tanesco,
19. Mtambo wa Biogas unatumia kinyesi cha Ng'ombe kwa ajili ya kupikia,
20. Machine ya kusokota Chakula cha ng'ombe,
21. Machine ya kusaga Chakula cha ng'ombe,
22. Machine kusambaza mbolea shambani.
Lina Hati na limelipiwa kodi zote za serikali mpaka mwaka wa 2020.pamoja na vitu vyote vilivyopo ndani ya shamba bado bei yake ya kuuzia kwa heka moja ni Tsh 2m
Maongezi zaidi 0756060183
View attachment 2162777View attachment 2162778View attachment 2162779View attachment 2162780View attachment 2162781View attachment 2162782View attachment 2162783View attachment 2162784View attachment 2162785