Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Kiluvya napajua vzr ana bonge moja la eneo karibu heka zaidi ata ya kumi na anatumia kuchungia mifugo yake tu ole wako ukutwe hko na mifugo isiyo yake.
 
Baba levo hizi ndiyo zilipashwa ziwe kazi zake za kumuondoa Daimond kwenye nyumba ya Kupanga na kumuweka humu sijui hawa wasanii akilii zao zipo wapi..
Siwezi kuamini kuwa ana helicopter lakini hana nyumba yake ya kuishi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee, 3k ya kuongezea kwenye hiyo 10k inakuwazisha, pesa ya chakula cha binti utakuwa nayo kweli!!? Vipi kuhusu pesa ya manunuzi?
 
mimi nimependa ramani na nahitaji fundi aliyeijenga. nampongeza mmiliki wa hiyo nyumba. najua nikiwa na mil.600 naweza jenga kama hiyo.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee, 3k ya kuongezea kwenye hiyo 10k inakuwazisha, pesa ya chakula cha binti utakuwa nayo kweli!!? Vipi kuhusu pesa ya manunuzi?
Naenda na bajeti. Siyo kwamba sina pesa. Sema tu sipendi kujionesha sana kwa watu.
 
Tutafuteni pesa vijana wenzangu
 
NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BUNJU

Nyumba bado haijaisha ila imefikia hatua ya kuezeka na finishing
Ina vyumba 4 vikubwa vya kulala vyote ni self

#Stingroom#Dainingroom#kitchen#pupublicktoilet# juu pia kuna stingroom ndogo nk
Chini chumba kimoja self na juu vyumba 3 self
Ramani ya nyumba ni nzr na ni ya kisasa zaidi
Mitaa mizuri na majirani wamejenga vizuri na majengo mapya
Kiwanja kimepimwa na kuna hati
Suze plot 700 SQM
BEI Tsh 195m
Maongezi zaidi 0756060183

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…