Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hapa dar es salaam na pwani kuna maeneo mengi sana Sumaye aliyashika

Kuanzia Chanika kuna mtaa wa Sumaye
Bunju kuna mtaa wa sumaye
Kiluvya kuna mtaa wa sumaye
Kibaha kongowe kuna mtaa wa sumaye


Kote huko jamaa ana maeneo makubwa sana

Nilivoona hiyo location ya kwa ndugai ndo nkamkumbuka Sumaye

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiluvya napajua vzr ana bonge moja la eneo karibu heka zaidi ata ya kumi na anatumia kuchungia mifugo yake tu ole wako ukutwe hko na mifugo isiyo yake.
 
Baba levo hizi ndiyo zilipashwa ziwe kazi zake za kumuondoa Daimond kwenye nyumba ya Kupanga na kumuweka humu sijui hawa wasanii akilii zao zipo wapi..
Siwezi kuamini kuwa ana helicopter lakini hana nyumba yake ya kuishi.
 
Safi sana. Ngoja nikaangalie Vyumba pale Mtungo Guest kama vipo na watakubali kuchukua 7 badala ya 10,000 nipige tu masaa kama 5 hivi.

Hapa bob utakuwa umecheza sana. Uje na mikataba kabisa...maana nikimla tu huyu dem wakati wa mapumziko nakuja tuyajenge.... Aiseee nitashukuru sana.
[emoji23][emoji23][emoji23] Aisee, 3k ya kuongezea kwenye hiyo 10k inakuwazisha, pesa ya chakula cha binti utakuwa nayo kweli!!? Vipi kuhusu pesa ya manunuzi?
 
mimi nimependa ramani na nahitaji fundi aliyeijenga. nampongeza mmiliki wa hiyo nyumba. najua nikiwa na mil.600 naweza jenga kama hiyo.
 
Nyumba nzuri ya kisasa inauzwa ipo Mbweni Moga ya tatu (3) kutoka kwenye lami. Ramani ya nyumba hii ni (American architectural). Hii nyumba ya kuamia tu hugusi kitu.... Halafu iko jirani na wakuu tofauti tofauti wa ulinzi na usalama...

Nyumba contained, fully A/c, garden nzuri sana, plot sized: 1,350 sqm ina title deed.
- Bei TZS. 1.3 billion maongezi yapo

Mawasiliano zaidi 0756060183View attachment 2342422View attachment 2342423View attachment 2342424View attachment 2342425View attachment 2342426View attachment 2342427View attachment 2342428View attachment 2342429View attachment 2342430View attachment 2342431View attachment 2342432View attachment 2342433View attachment 2342434
Tutafuteni pesa vijana wenzangu
 
NYUMBA YA GHOROFA INAUZWA BUNJU

Nyumba bado haijaisha ila imefikia hatua ya kuezeka na finishing
Ina vyumba 4 vikubwa vya kulala vyote ni self

#Stingroom#Dainingroom#kitchen#pupublicktoilet# juu pia kuna stingroom ndogo nk
Chini chumba kimoja self na juu vyumba 3 self
Ramani ya nyumba ni nzr na ni ya kisasa zaidi
Mitaa mizuri na majirani wamejenga vizuri na majengo mapya
Kiwanja kimepimwa na kuna hati
Suze plot 700 SQM
BEI Tsh 195m
Maongezi zaidi 0756060183

FB_IMG_1662509469818.jpg
 
Back
Top Bottom