loliondokwetu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 1,376
- 1,752
Kiluvya napajua vzr ana bonge moja la eneo karibu heka zaidi ata ya kumi na anatumia kuchungia mifugo yake tu ole wako ukutwe hko na mifugo isiyo yake.Hapa dar es salaam na pwani kuna maeneo mengi sana Sumaye aliyashika
Kuanzia Chanika kuna mtaa wa Sumaye
Bunju kuna mtaa wa sumaye
Kiluvya kuna mtaa wa sumaye
Kibaha kongowe kuna mtaa wa sumaye
Kote huko jamaa ana maeneo makubwa sana
Nilivoona hiyo location ya kwa ndugai ndo nkamkumbuka Sumaye
Sent using Jamii Forums mobile app