Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Umeona eeh mkuu! Hapa wengine wanaongea Tu hata Dodoma yenyewe hawaijui ilivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKUPA 18 uwanja 4 umeweka kumi ujenzi na 4m faida
 
We mgogo acha kufananisha masaki na vitu vya kijinga, kisasa ni eneo la watu wenye kipato cha kati na viwanja vyake vingi ni kati ya million 12 na 25.

Hilo pagale halitakiw kuzid million 30, labda mumuokote mihanyenyi mwenzenu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mgogo acha kufananisha masaki na vitu vya kijinga, kisasa ni eneo la watu wenye kipato cha kati na viwanja vyake vingi ni kati ya million 12 na 25.

Hilo pagale halitakiw kuzid million 30, labda mumuokote mihanyenyi mwenzenu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesema kweli hapo mpaka nyumba iliposimama kujenga inacheza kwenye 10-18 ukisimamia manunuzi ya vifaa na mahitaji yote kwa umakini kabisa, ila watu kutokujua masuala ya Valuation kama ulivyosema wanapigwa bei kubwa na Madalali.
Ata wew valuation yako feki
Uwez kuw na makadirio ya thamani inayo range zaidi ya tatu+
Mfano wako m10-18 XXX
At least useme m10-m13 lak sio 3lala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…