Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Sema blaza hii design ndani walipuyanga kidogo. Hapo eneo la wazi toka chini mpk juu...

Sema nahisi ukwasi mdogo ndio unanisumbua mtazami. Good luck.
si sitting room tu, hapo mzunguko wa hewa mzuri sana hakuna haja ya AC ni kipupwe tu cha asili
 
nmeipenda hiyo nyumba kwa kuwa hapo ina nafasi ya hewa ya kutosha.
ngoja nisubirie mkeka(betting) wangu ukitiki nitakutafuta
 
nmeipenda hiyo nyumba kwa kuwa hapo ina nafasi ya hewa ya kutosha.
ngoja nisubirie mkeka(betting) wangu ukitiki nitakutafuta
Betting haitatiki MAISHA. Sahau hilo. Sorry lakini kukuambia ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…