Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Sema blaza hii design ndani walipuyanga kidogo. Hapo eneo la wazi toka chini mpk juu...

Sema nahisi ukwasi mdogo ndio unanisumbua mtazami. Good luck.
si sitting room tu, hapo mzunguko wa hewa mzuri sana hakuna haja ya AC ni kipupwe tu cha asili
 
nmeipenda hiyo nyumba kwa kuwa hapo ina nafasi ya hewa ya kutosha.
ngoja nisubirie mkeka(betting) wangu ukitiki nitakutafuta
 
nmeipenda hiyo nyumba kwa kuwa hapo ina nafasi ya hewa ya kutosha.
ngoja nisubirie mkeka(betting) wangu ukitiki nitakutafuta
Betting haitatiki MAISHA. Sahau hilo. Sorry lakini kukuambia ukweli
 
Nyumba ipo bahari beach mtaa wa pili kutoka lami.vyumba 5 vya kulala na vyote ni self
Ukubwa wa kiwanja 2400 SQM
Bei Tsh 580m
Maongezi zaidi 0756060183
20201121_080402.jpg
20201121_080804.jpg
20201121_080722.jpg
20201121_080329.jpg
 
Back
Top Bottom