Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hiyo bei ni kubwa sana. Kibiashara bei yake hapo haipaswi kuzidi 40milioni.
Kiwanja cha 30mΓ—30m hapo Dodoma kisasa hakizidi 10milioni, gharama za ujenzi wa hiyo nyumba mpaka hapo ilipofikia haizidi 20milioni. Sasa kama ukiweka gharama zingine kama faida&udalali 10milioni.
(Kiwanja+Ujenzi+Faida=40milioni).

Maana kiuhalisia hiyo nyumba kiujenzi ipo katikati, gharama za kuifanya finishing huenda zikawa sawa sawa na gharama zote zilizokwisha tumika mpaka hapo. Maana hapo bado Milango, Madirisha, Dali, Sakafu, Rangi, Umeme, Maji, Plaster, Vyoo, Jiko nk.

Sasa kama mnunuzi atainunua kwa milioni 85 ikiwa katika hali hiyo, inabidi ajipange tena kutumia milioni 85 zingine kuimalizia, hivyo jumla ya milioni 170. Ataweza kweli?
 
Rekebisha kisesa ni mwanza, dodoma kuna KISASA kama ndio maana yako!
 
Kisasa si kule kwenye vijumba Kama kambi zs wakimbizi?
 
Nyumba ina vyumba 6 na kati ya hivyo 3 ni self nk

Eneo la kiwanja ni 4,000 SQM

Ni nyumba ya pili kutoka lami.

Bei Tsh 850m bei hii ina maongezi na zaidi pia tunasikiliza ofa ya mteja.

Nyumba ipo Dsm kunduchi ,Bahari beach na baaada ya hapo Ununio ni mwendo wa km 15 kutoka mwenyewe.

Maongezi zaidi 0756060183


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukisema Ununio watu wengi hawajui Ununio hiko wapi? Mkoa gani? Wilaya gani? Mtaa hupi? Huduma zipi za muhimu zipo katika mtaa huo na urahisi wa kuifikia
 
Nyumba ipo Dsm kunduchi ,Bahari beach na baaada ya hapo Ununio ni mwendo wa km 15 kutoka mwenyewe.
Ulikuwa unajaribu kusema nini hapa?!

Kwa kuangalia properties ambazo umekuwa ukizitangaza hapa JF, nyingi zake ni premium properties!

Kama ndivyo, hasa kwa kuzingatia si wengi wanaofahamu kila sehemu ya Dar, na hata kwa wale wanaofahamu, si rahisi kufahamu kila kitongoji cha eneo husika, sasa nini kinakushinda ku-turn on location kwenye simu ukawa unapata Google Map ya sehemu husika kisha ukawa unaambatanisha na tangazo?!

Huoni tangazo likitokea kama hapa chini linaonesha wazi kwamba unajua unachofanya na unapunguza maswali huku ukiwa umejumuisha maelezo ambayo any serious buyer angependa kuyafahamu:-
 
Asante sana mkuu kwa elimu nzr,hii nitaitumia
Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwenye hii biashara wabongo mmebaki kutoa ushauri tu. Halafu jamaa dalali kwa upoole anapokea shauri zenu.
Dah ukiwa huna pesa bhana nyoko sana.
Una mawazo meeengi mazuri. Wenye pesa hata hawafikiriii. Mda wenyewe wakushauri hawana wako busy kutafta pesa zaidi.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hem na mi maskini mi nipite kushoto.
 
Na wewe kweli utakuwa maskini manake mawazo yako yamekaa kimaskini maskini sana, manake wala sijui kilichokuchekesha hapo ni nini!

Wote waliotoa ushauri concern yao ni location na wala hakuna aliye-claim kwamba hawezi kununua kwa sababu hafahamu location, kwahiyo hoja yako kwamba "wenye pesa hata hawafikirii..." ni irrelevant!
 
Kinachonichekesha ni masikini Mimi na wewe tunaujaza huu Uzi halafu hatuna kitu.
Huhitaji kurudia kunitaja taja kwamba mi ni masikini kweli maana nshajisema kua mi nimasikini.
Kwa hiyo wewe ushafanya appointment na muuzaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ dah. Sasa huko private ulikofanya nae appointment si ndio ungemuuliza huko huko location iko wapi?
Au umeuliza hapa kwa faida ya sisi masikini wengine?
Anyways hongera na mijihela yako
 
Unaonaje basi nikikupuuza?! Manake bado wala sijaona kinachokuchekesha hasa ni kipi!! Kama umeumia sana watu kutoa ushauri, that's how public forums work... sasa tatizo hapo lipo wapi?!
 
Unaonaje basi nikikupuuza?! Manake bado wala sijaona kinachokuchekesha hasa ni kipi!! Kama umeumia sana watu kutoa ushauri, that's how public forums work... sasa tatizo hapo lipo wapi?!
Bwana Chige sijui bi Chige πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mimi niko na furaha mda wote wala usijali.
Sawa nipuuze tu mkuu. Sio shida. Maoni mbona ndio kwake hapa. Where we dare talk openly. So hamna tatizo kabisa.
Ndio maana na Mimi openly nikasema tunaoujaza huu uzi kwa maswali maswali hatuna hela masikini ya Mungu. Pesa ndefu sana hiyo. Hayo in mawazo yangu.
 
Wenye nafasi zao wanachukua, anakuuliza swali la msingi kabisa kinachokuchekesha nini,ww bado unacheka,huna hela waachie wenye nazo wachukue mzigo.
Ni bilioni 1 na chenchi kidogo utapata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…