Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Nyumba ina vyumba 3 kimoja ni self
Size plot 400 sqm
Bei Tsh 28m
Maongezi zaidi 0756060183

 
Picha umepiga kiwizi sana,naamini wewe utakuwa dalali wa 3 toka wa kwanza kupewa offer na mwenye nyumba.Ila wewe bado haujaaminika zaidi hata ruhusa ya kupiga picha nyumba umenyimwa!!
Hahaaa mkuu ngoja nitaenda kuchukua picha mwenyewe maana hizi amenitumia mwenyewe
 
Unauza nyumba au unauza picha inayoonesha nyumba?
 
NYUMBA INAUZWA

IKO MBEZI BEACH

BEI NI MILION 370 tshs

UKUBWA NI SQMT 1500

INA HATI MILIKI

Ina Vyumba Vinne vya kulala, Sebule , na dinning, Public Toilet Ya ndani, Garage n.k

Kwa mawasiliano zaidi
0756060183View attachment 1876123

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…