kingkimwe
JF-Expert Member
- Feb 12, 2015
- 1,839
- 2,481
Haha hiyo nyingi sana..mwenyewe anataka 4.5b na muende kuongea akupunguzie
Sijui payback yake lini iyo [emoji3]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha hiyo nyingi sana..mwenyewe anataka 4.5b na muende kuongea akupunguzie
Hapo unaweza kuta kuna dalali, kuna shanta halafu mpiga debe.Picha umepiga kiwizi sana,naamini wewe utakuwa dalali wa 3 toka wa kwanza kupewa offer na mwenye nyumba.Ila wewe bado haujaaminika zaidi hata ruhusa ya kupiga picha nyumba umenyimwa!!
Hahaaa mkuu ngoja nitaenda kuchukua picha mwenyewe maana hizi amenitumia mwenyeweHapo unaweza kuta kuna dalali, kuna shanta halafu mpiga debe.
Hahaaa mkuu ngoja nitaenda kuchukua picha mwenyewe maana hizi amenitumia mwenyewePicha umepiga kiwizi sana,naamini wewe utakuwa dalali wa 3 toka wa kwanza kupewa offer na mwenye nyumba.Ila wewe bado haujaaminika zaidi hata ruhusa ya kupiga picha nyumba umenyimwa!!
Hahaaa mkuu ngoja nitaenda kuchukua picha mwenyewe maana hizi amenitumia mwenyeweMzaha sio mzaha?
Usikonde piga mingo.Hahaaa mkuu ngoja nitaenda kuchukua picha mwenyewe maana hizi amenitumia mwenyewe
Hahaa wewe kweli ni mwenyeji wa hii mitaa..ni kinzudi majengo( kwa mchinja kuku) mtaa wa kwa bi mdudeKinzudi sehemu gani? Usukumani, Majengo, Kwa Mchinja Kuku au wapi? Panafikika kwa gari?
Asante sana mkuuUsikonde piga mingo.
Dadeki.Picha umepiga kiwizi sana,naamini wewe utakuwa dalali wa 3 toka wa kwanza kupewa offer na mwenye nyumba.Ila wewe bado haujaaminika zaidi hata ruhusa ya kupiga picha nyumba umenyimwa!!
Ngoja nirudi site nilete picha za kutoshaDadeki.
Umemuumulia
Nauza nyumba mkuuUnauza nyumba au unauza picha inayoonesha nyumba?
Ndio mana facebook tuna chama letu hili kuepukana na mambo km hayaView attachment 1876226
Ndio hii?