Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Hizo tiles hapo mbona zimewekwa shagala bagala?

Alaf kwanini hiyo nyumba inauzwa?

Haina majini au mizimu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi tukikuuzia unaziondoa na unaweka paving bock
Mwenyewe anaishi hapa sema anauza kwa mahitaji yake binafc mkuu.
Biashara ya kuuza nyumba, viwanja, mashamba, magari nk zipo siku nyingi mkuu na kuuza kitu havina uhusiano wowote na majini
 
Weka picha wanunuzi ndo sisi. Nataka nione mazingira vizuri, hiyo nyumba ya wafanyakazi haionekani. Kamilisha tangazo mkuu
 
Mkuu nyumba ndogo haionekani au ulimaanisha kimada? BTw mimi ni window shopper tu natakasa macho!
 
Tofali za kufyetulia zilipigwa kwa ratio gani
 
PLOT FOR SALE
______

LOCATION AT MABWEPANDE

ASKING PRICE Tsh.18 Million

PLOT SIZE SQM 842

NEAR HOSPITAL/POLICE STATION

FULL DOCUMENTS/TITLE DEED
0756060183
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…