dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,381
Hizi tukikuuzia unaziondoa na unaweka paving bockHizo tiles hapo mbona zimewekwa shagala bagala?
Alaf kwanini hiyo nyumba inauzwa?
Haina majini au mizimu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyewe anaishi hapa sema anauza kwa mahitaji yake binafc mkuu.
Biashara ya kuuza nyumba, viwanja, mashamba, magari nk zipo siku nyingi mkuu na kuuza kitu havina uhusiano wowote na majini