KijanaHuru
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 1,822
- 2,320
bei imekuwa ngapi nduguWadau nimepunguza bei ya hii apartment na pia inafaa kwa matumizi ya ofc
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
bei imekuwa ngapi nduguWadau nimepunguza bei ya hii apartment na pia inafaa kwa matumizi ya ofc
600,000/= kwa mwezibei imekuwa ngapi ndugu
Kwann mkuu kiwanja na si nyumba?Hapo unanunua kiwanja.
Ngoja apige hesabu upyaYaani mtu anatoa $560,000 unasema ya ramani. Au hujui maana ya k mzee kwenye hesabu. Maana yake hapo kilichopungua ni $4,000.
Nitakuja kukupa mrejesho mkuuHiyo price kwa mbezi beach , hutauza hiyo nyumba USD 600k ngumu ,
Kipindi kile cha shamba la Bibi nyumba Kama hizi ulizimiliki ngapi Mkuu?Nyumba nzuri sana- ila hiyo bei kwa Kipindi hiki mtihani- hayo yalikuwa ma-bei ya Kipindi kile Cha shamba la bibi.
Hahaaa duh! aiseeh hili swali lina tuhusu sisi soteKipindi kile cha shamba la Bibi nyumba Kama hizi ulizimiliki ngapi Mkuu?
Nadhani kiwanja (location) ndiyo inayobeba zaidi ya 80% ya bei.Kwann mkuu kiwanja na si nyumba?
Yeah na hii inachangia pakubwa mkuuNadhani kiwanja (location) ndiyo inayobeba zaidi ya 80% ya bei.
Huo mjengo peke yake hauvuki 200m.
Ndiyo nilichosema. It's obvious.Yeah na hii inachangia pakubwa mkuu
Kweli kabisa mkuuNdiyo nilichosema. It's obvious.
Mbili tu Mkuu.Kipindi kile cha shamba la Bibi nyumba Kama hizi ulizimiliki ngapi Mkuu?
Hapana mkuu me napata commission ya kawaida tu ndg yanguShikamoo dalali hapo 1000M ya mmiliki, 250M yako.
Halafu baada ya wiki huna hata mia, sijui huwa mnapeleka wapi hizo hela za mseleleko.
Lete hela mkuuChukua 140 chapu