dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
- #1,881
Karibu mkuudaaaah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu mkuudaaaah
Wewe bhana huna hela! Kuwa tu mpole na uwaachie wenye hela zao wajimilikishe hilo jengo.Yani mtu alaze 1.5bn kwenye matofali? Cash!?????? Na Hali ya sasa biashara ya office hewa!
Mkuu hilo jengo linaingiza hela za kutosha kila mwezi kwahyo wanaojua uwekezaji hawawezi kuona haya unayo yaona wewe. Tonatofautiana sana kipato mkuu ila tuishi tu hakuna namna ipo siku Mungu atatusaidia kuyaona yale yasiyo onekanaYani mtu alaze 1.5bn kwenye matofali? Cash!?????? Na Hali ya sasa biashara ya office hewa!
Hahaa umenikumbusha mkuu enzi zile tunasoma habari za sungura akilukia migomba ya ndizi na kushindwa kufikia kwenye mkungu wa ndizi akijisemea sizitaki mbichi zileWewe bhana huna hela! Kuwa tu mpole na uwaachie wenye hela zao wajimilikishe hilo jengo.
Pesa ipo, sio kila mtu amekwama.Yani mtu alaze 1.5bn kwenye matofali? Cash!?????? Na Hali ya sasa biashara ya office hewa!
Jamaa atakuwa hajawahi kuwekeza kwenye biashara ya Real Estate bila shaka. Halafu anaionea huruma hela ambayo siyo ya kwake eti!! 😁😁Hahaa umenikumbusha mkuu enzi zile tunasoma habari za sungura akilukia migomba ya ndizi na kushindwa kufikia kwenye mkungu wa ndizi akijisemea sizitaki mbichi zile
Hahaaa ukuweli ni kwamba kila mtu anabiashara zake anazozijua na ni vzr nyingine tukawachia wenyewe wenye uelewa nazoJamaa atakuwa hajawahi kuwekeza kwenye biashara ya Real Estate bila shaka. Halafu anaionea huruma hela ambayo siyo ya kwake eti!! [emoji16][emoji16]
Hahaa haya yatakuwa mawazo yako kabisa mkuuHalafu sijui kwanini nahisi mmiliki wa jengo kafulia kutokana na kupenda sana ku-bet!
Au hisia zangu tu huku zikiwa zimeambatana na wivu?
Pesa ipo, sio kila mtu amekwama.
[emoji1787][emoji1787]Yani ndugu yangu upo serious Sana! 3b au sioKula billion 3 mwanangu
Ndio mkuu ila kwa mwekezaji angepipitia mikata ya wapangaji na kuona kila mwezi inapatikana sh ngapi na kwa mwaka pia zidisha kwa miaka kumi na hapo utajua je jengo litaleta faida ama laahPesa ipo, naongelea return on that investment..., land is now very cheap, sasa that old building na value? 1bn? Na na!
Hapana mkuu chenchi yako baki nayo sisi tunataka 1.5b tuKula billion 3 mwanangu
Ndio mkuu ila kwa mwekezaji angepipitia mikata ya wapangaji na kuona kila mwezi inapatikana sh ngapi na kwa mwaka pia zidisha kwa miaka kumi na hapo utajua je jengo litaleta faida ama laah
Mkuu ni wapi huko land ni cheap 🤔Pesa ipo, naongelea return on that investment..., land is now very cheap, sasa that old building na value? 1bn? Na na!
Biashara za kuuza na kununua zipo tu mkuu tangu kuumbwa kwa Dunia.kwahyo mtu anapoamua kuuza aseti yake basi ujue kuna nguvu nyuma yake inayomsukuma..karibu tukuuzie mkuu umiliki mgorofa huu wenye wapangaji kibaoHapo Sawa, nakubali, Kama pana wapangaji na inalipa Ni Sawa, Ila Kwa nini sasa Huyoauze Kama kuna Faida? Au anapitia kipindi kigumu?