Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

hapo inabidi uwe na bil 1.7 X 2, kununua kubomoa na kujenga tena, manake ghorofa utadhani zahanati teule ya kupima na kupambana na UVIKO-19
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hiyi masaki ndio sehemu yenye thamani TANZANIA baada ya oyster bay lkn ukiangalia mazingira yake na barabara sehemu zingine unaweza kusema TANZANIA baado sn kwenye maeneo yenye mandhari mazuri na Bei za nyumba hazilingani kabisa suburi na mvua uwoni hali halisi.

Sent from my SM-G975F using JamiiForums mobile app
 
Naijua hii nyumba tena hapo imepigwa rangi mkono mmoja ilikuwa kama gofu. Mzee aliyekuwa anakaa hapo alikuwa na mvi nyeupe kichwa kizima na hana mtoto. Nadhani alishadanja mwaka jana au juzi
umenikumbusha movie moja inaitwa The conjuring 2 . hizi nyumba ukinunua visanga utakavyokutana navyo humo utatamani uiuze hata kwa milioni 3. na ugeuki nyuma.
 
umenikumbusha movie moja inaitwa The conjuring 2 . hizi nyumba ukinunua visanga utakavyokutana navyo humo utatamani uiuze hata kwa milioni 3. na ugeuki nyuma.
Duh! Ila sii ndg karibu uishi mitaa iliyotengwa kwa ajili ya watu maalumu
 
Located: Kunduchi Beach njia ya madini -

Nyumba ipo mtaa wa pili kutoka barabara ya lami

Features :
NYUMBA INA....
--- 3 Bedrooms
--- All Master Bedrooms.
--- Kitchen.
--- Dining room.
--- Store
--- 1 Sitting rooms.
--- 2 Public toilets.
--- Bathrooms.
--- Big Sliding Windows.
--- Laundry Area.
--- Eneo Limepimwa na Hati Miliki IPO.
--- Maji yapo( Dawasa).
--- Umeme upo.
--- Plot Size: 600 Sqm
--- Price: Tsh. 285 Million (Negotiable)

0756060183


JamiiForums853255185.jpg
JamiiForums798387539.jpg
JamiiForums853255185.jpg
JamiiForums676698967.jpg
JamiiForums803168851.jpg
JamiiForums593202170.jpg
 
PLOT FOR SALE AT KIBAHA KWA MATHIAS

--- Eneo lipo Kibaha mtaa wa Mita hamsini umbali wa 1.2 km Kutoka barabara ya lami ya Morogoro.

--- Eneo lipo sehemu nzuri kwa ujenzi wa nyumba za makazi.

--- Plot Size: 875 Sqm

--- Eneo hili limepimwa na kurasimishwa na Halmashauri ya Kibaha na lina nyaraka za Serikali ya Mtaa.

--- Maji yapo ( Dawasa) na umeme upo.

--- An Ideal plot for Residential purposes.

Bei ni Tsh 10 Million (Negotiable)
Call or WhatsApp for more details. 0756060183

IMG-20220211-WA0004.jpg
IMG-20220211-WA0005.jpg
IMG-20220211-WA0006.jpg
IMG-20220211-WA0007.jpg

 
PLOT FOR AT ARUSHA-NGUSERO.

--- Eneo lipo Arusha karibu na shule ya Babra na Jirani na moto Ngusero hatua kumi na tano kutoka motoni na kutoka Arusha mjini daladala nauli ni Tsh 400/= na bodaboda ni Tsh 1,500/=

---Kwenye eneo kuna nyumba yenye vyumba 4.
Vyumba 2 ni Chumba kimoja cha kulala, sebule, jiko na choo na vingine viwili ni chumba kimoja cha kulala, jiko na choo.

--- Eneo lipo sehemu nzuri Kwa Ujenzi wa nyumba za kibiashara kama vile Apartments, Hotel, Hostels, Yard, au Makazi.

--- Plot Size: 3,100 Sqm

--- Eneo limepimwa na kurasimishwa na Halmashauri ya Arusha na limewekewa mawe(bikoni) na kwa sasa lina Documents/ nyaraka za Serikali ya mtaa/Process za kupata hati zinaendelea.

--- Maji yapo ya kisima Cha kudumu kisichokauka maji na umeme upo.

--- An Ideal plot for Commercial and Residential purposes.

Bei ni Tsh 60 Million (Negotiable)
Call or WhatsApp for more details 0756060183

IMG-20220211-WA0016.jpg
IMG-20220211-WA0014.jpg
IMG-20220211-WA0015.jpg
 
60,000,000,/3100=20,000 per sqm.Hio bei sidhani maana hapo akitoa plots za 20 by 20 anapata 7 kwa 5m each ni 35m kwa hayo maeneo ni standard unless sina taarif sahihi.
 
Nyumba inavyumba v3 sbule jiko chumba kimoja seluf ipo mingoi kimele nyumba mpya yakisasa maji umeme vyote vipo ukubwa waeneo SQM 500

Bei 20 milioni

maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220212-WA0000.jpg
IMG-20220212-WA0001.jpg
IMG-20220212-WA0002.jpg
IMG-20220212-WA0003.jpg
 
HOUSE FOR RENT

Located at MOSHI MIJINI - Kwa Shabaha

--- 4 Bedrooms House
--- Big windows
--- Kitchen
--- Sitting room
--- Common toilet ( public toilet)
--- Water (Available )
--- Fenced (1 units)
--- Parking space
--- 2 Bathrooms

Price: TSH. 500,000 /=

* Nyumba ilipo ni sehemu salama na utulivu *

Call and WhatsApp for more details. +255756069183

IMG-20220212-WA0006.jpg
IMG-20220212-WA0004.jpg
IMG-20220212-WA0005.jpg
 
Kiwanja kimepimwa na kiko maeneo mazuri sana mji umepangika na wamejenga watu wanajiweza.
Size plot 986 SQM
Bei Tsh 25m
Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220212-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom