PLOT FOR AT ARUSHA-NGUSERO.
--- Eneo lipo Arusha karibu na shule ya Babra na Jirani na moto Ngusero hatua kumi na tano kutoka motoni na kutoka Arusha mjini daladala nauli ni Tsh 400/= na bodaboda ni Tsh 1,500/=
---Kwenye eneo kuna nyumba yenye vyumba 4.
Vyumba 2 ni Chumba kimoja cha kulala, sebule, jiko na choo na vingine viwili ni chumba kimoja cha kulala, jiko na choo.
--- Eneo lipo sehemu nzuri Kwa Ujenzi wa nyumba za kibiashara kama vile Apartments, Hotel, Hostels, Yard, au Makazi.
--- Plot Size: 3,100 Sqm
--- Eneo limepimwa na kurasimishwa na Halmashauri ya Arusha na limewekewa mawe(bikoni) na kwa sasa lina Documents/ nyaraka za Serikali ya mtaa/Process za kupata hati zinaendelea.
--- Maji yapo ya kisima Cha kudumu kisichokauka maji na umeme upo.
--- An Ideal plot for Commercial and Residential purposes.
Bei ni Tsh 60 Million (Negotiable)
Call or WhatsApp for more details 0756060183