Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Je? Hii nyumba ina milango mbele na nyuma? Kwa maana ya kuingilia (mbele) na nyuma?
 
Nyumba ipo Madale jirani na kituo cha police.sifa zake:-

KWA ramani ilivyo chini ina Seating Room, Dinning,Jiko Kubwa,Study Room,Choo,Bafu na Chumba kimoja cha kulala chenye choo na bafu,Juu kuna vyumba 3(viwili vya watoto),kimoja Master na kimoja cha mgeni ambacho kina choo na bafu lake, pia juu kuna choo na bafu vinavyojitegemea

Kiwanja kina ukubwa wa 1200 SQm
Bei Tsh 160m
Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220212-WA0013.jpg
IMG-20220212-WA0010.jpg
IMG-20220212-WA0011.jpg
IMG-20220212-WA0012.jpg
IMG-20220212-WA0008.jpg
IMG-20220212-WA0009.jpg
 
Kama ni Madale hata Nyumba yangu walichora hivyo hivyo watu wa Manispaa eti SIMAMISHA UJENZI,kimsingi Nyumba zote kabla hujajenga unatakiwa uwe na Kibali cha Manispaa,sasa sie wengine ukinunua tu kiwanja unaanza kujenga bila Kibali.

Kwa Madale nadhani nyumba zote walizichora hayo maandishi,ukienda Manispaa wanataka pesa tu Laki Tatu basi mchezo umeisha,tena nyingine wamechora hayo maandishi wakati watu wameshahamia na kuhamia, uhuni tu
 
Manispaa Kinondoni wahuni sana,nami narudi kutoka mihangaiko yangu nakuta wamechora nyumba yangu hukohuko Madale Flamingo Simamisha Ujenzi nikashangaa,kumuuliza jirani yangu nae wamemchorea hivyohivyo,asubuhi tukawafuata ofisini kwao,tukawapoza na Lakilaki wakatupa hivyo vikaratasi vyao eti ndio vibali daaah,upigaji nchi hii hautakuja kwisha[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ni Madale hata Nyumba yangu walichora hivyo hivyo watu wa Manispaa eti SIMAMISHA UJENZI,kimsingi Nyumba zote kabla hujajenga unatakiwa uwe na Kibali cha Manispaa,sasa sie wengine ukinunua tu kiwanja unaanza kujenga bila Kibali,kwa Madale nadhani nyumba zote walizichora hayo maandishi,ukienda Manispaa wanataka pesa tu Laki Tatu basi mchezo umeisha,tena nyingine wamechora hayo maandishi wakati watu wameshahamia na kuhamia,uhuni tu

Manispaa Kinondoni wahuni sana,nami narudi kutoka mihangaiko yangu nakuta wamechora nyumba yangu hukohuko Madale Flamingo Simamisha Ujenzi nikashangaa,kumuuliza jirani yangu nae wamemchorea hivyohivyo,asubuhi tukawafuata ofisini kwao,tukawapoza na Lakilaki wakatupa hivyo vikaratasi vyao eti ndio vibali daaah,upigaji nchi hii hautakuja kwisha[emoji23][emoji23][emoji23]
una IDs ngapi ?
 
Back
Top Bottom