Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

HICHO KIWANJA
KINAUZWA KIPO
WAZO KONTENA
KARIBU NA KWA DAIMONDI
ALIPOJENGA
KIPO TAMBALALE
HAKINA MATATIZO YOYOTE
BEI MILION 4,500,000 KINAMITA 17 KWA 18 UNAWEZA KUJENGA NYUMBA YAKUISHI AU APARTMENT NI JIRANI KABISA NA BARABARA YAKWENDA
MADALE MPAKA KWENYE KIWANJA DAKIKA 4 KWAMIGUU
MAWASILIANO ZAIDI 0756060183View attachment 2157104View attachment 2157106View attachment 2157107View attachment 2157108

Kulikua na haja ya kumtaja Diamond katika tangazo lako?
 
Kulikua na haja ya kumtaja Diamond katika tangazo lako?
Ni njia moja wapo ya kumuelekeza mteja wetu.
Ingawa sio kila jambo linalofurahisha wengine likufrahishe na wewe.yote kwa yote tuvumiliane tu mkuu ndio maana halisi ya maisha
 
HOUSE FOR SALE AT MBEZI BEACH.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

Location: Mbezi Beach Kilongawima Near Kwa Mwamunyange Residence and Neighboring to Police Quarters.

The House is Fronting the main Tarmac road.Its just beside the main road.

Features :
NYUMBA INA....
--- 2 Bedrooms
--- 1 Master Bedroom.
--- Kitchen.
--- Dining room.
--- Fenced
--- 1 Sitting room.
--- 1 Public toilet.
--- Bathroom.
--- Big Aluminum Sliding Windows.
--- The Plot is Surveyed and has clean documentation.
--- Nyumba ipo kwenye eneo lililopimwa na Lina Nyaraka Hali(VALID TITLE DEED)
--- Maji yapo( Dawasa).
--- Umeme upo.

--- Plot Size:1,200 Sqm

--- Price:Tsh. 350 Million (Negotiable) Mawasiliano zaidi:-
0756060183

IMG-20220323-WA0004.jpg
IMG-20220323-WA0005.jpg
IMG-20220323-WA0006.jpg
IMG-20220323-WA0003.jpg
 
Title Deed ipo.

Shamba la Ukubwa wa (Hekari 630) linauzwa lipo Kabuku TANGA umbali wa KM 7 kutoka Main Road, barabara inapitika gari zote mpaka Malori na lina Mazao kama ifuatavyo;
1. Miembe ya kisasa heka 200,
2. Michungwa heka 15,
3. Miti ya Mitiki heka 10,
4. Nyumba ya kuishi yenye vyumba vitatu, store, jiko na sitting room,
5. Nyumba ya Kuishi wa fanya Kazi,
6. Mabanda ya kufuga ng,ombe,
7. Machine ya ku process majani ya ng'ombe,
8. Josho la ng'ombe,
9. Machine ya kuspray dawa kwenye miti ya maembe,
10. Mabanda ya kufuga kuku,
11. Mizinga ya nyuki,
12. Kuna magodown ya kitunzia mazao,
13. Matank ya maji ya Dawasco,
14.Tank la Lita 200,000 special kuvuna maji ya Mvua,
15. Maji ya bomba,
16. Matrekta matatu (3),
17. Visima vya maji shamba,
18. Umeme wa Tanesco,
19. Mtambo wa Biogas unatumia kinyesi cha Ng'ombe kwa ajili ya kupikia,
20. Machine ya kusokota Chakula cha ng'ombe,
21. Machine ya kusaga Chakula cha ng'ombe,
22. Machine kusambaza mbolea shambani.
Lina Hati na limelipiwa kodi zote za serikali mpaka mwaka wa 2020.pamoja na vitu vyote vilivyopo ndani ya shamba bado bei yake ya kuuzia kwa heka moja ni Tsh 2m

Maongezi zaidi 0756060183

IMG-20220324-WA0021.jpg
IMG-20220324-WA0022.jpg
IMG-20220324-WA0023.jpg
IMG-20220324-WA0018.jpg
IMG-20220324-WA0020.jpg
IMG-20220324-WA0017.jpg
IMG-20220324-WA0016.jpg
IMG-20220324-WA0015.jpg
IMG-20220324-WA0000.jpg
 
HOUSE FOR SALE AT MBEZI BEACH.
▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃▃

Location: Mbezi Beach Kilongawima Near Kwa Mwamunyange Residence and Neighboring to Police Quarters.

The House is Fronting the main Tarmac road.Its just beside the main road.

Features :
NYUMBA INA....
--- 2 Bedrooms
--- 1 Master Bedroom.
--- Kitchen.
--- Dining room.
--- Fenced
--- 1 Sitting room.
--- 1 Public toilet.
--- Bathroom.
--- Big Aluminum Sliding Windows.
--- The Plot is Surveyed and has clean documentation.
--- Nyumba ipo kwenye eneo lililopimwa na Lina Nyaraka Hali(VALID TITLE DEED)
--- Maji yapo( Dawasa).
--- Umeme upo.

--- Plot Size:1,200 Sqm

--- Price:Tsh. 350 Million (Negotiable)
Mawasiliano zaidi 0756060183
IMG-20220323-WA0004.jpg
IMG-20220323-WA0005.jpg
IMG-20220323-WA0006.jpg
 
Back
Top Bottom