Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Plot4Sale Tunauza Nyumba, Mashamba na Viwanja sehemu mbalimbali

Jenga yako ya mil 500 afu iweke sokoni na hio BOQ ya ujenzi boss
sihitaji BOQ kwa sababu nitauza bei ya kihalisia

wewe ndio udhihirishe hiyo bilioni 1.3 umeifikia vipi au mi dalali unatunga namba from blue sky
 
Acha kabisa, ila nitajenga kama hii with the same architecture kwa million 600.
Kuna wanaoishi kwenye nyumba alafu kuna wanaoishi kwenye mabanda.
Na hii pia ni nyumba tunauza mkuu sio banda

NYUMBA INAUZWA BUNJU MINGOI

NYUMBA INA VYUMBA V3 SEBULE JIKO CHUMBA KIMOJA MASTER BEDROOM IPO MINGOI NJIA YAKWENDA KIHALAKA MITA 800 UMEFKA UWANJA SGMIT 1600 PAMEPIMWA

BEI TSH 35M
MAONGEZI ZAIDI 0756060183View attachment 2344833View attachment 2344834
IMG-20220903-WA0010.jpg
IMG-20220903-WA0011.jpg
 
Kuna demu ntakupa namba yake umpigie mshawishi akubali nimnunulie kwa sharti kuwa atanipa papuchi. Akikubali natoa hiyo pesa. Mwaka wa 3 huu ananikataa na sielewi shida nini. Maana pesa ninayo halafu ni muhendisamu. We ongea naye mshawishi akubali hilo sharti then unijulishe. Nalipa hiyo bil 1.3
 
SHAMBA likoTanga Handeni kijiji cha suwa.ukitoka mkata unaenda na LAMI km4 kisha unaingia ndani km10 unafika site barabara nzuri ata bajaji inafika.
Ukubwa wa shamba ni heka 170
Kwa kila heka moja tunaza Tsh 3m
SHAMBA lina hati miliki
Shughuri za uchimbaji madini ya dhahabu na kilimo vinaendelea kufanyika hadi sasa hivi

Wahi utajiri ndio huu sasa asikuambie mtu.
Unaweza kunichk WhatsApp kwenye hii no nikutumie video zaidi

0756060183

IMG-20220904-WA0006.jpg
IMG-20220904-WA0005.jpg
 
Umeweka Tangazo lako vizuri hongera. Ila ukifanikiwa si haba mkuu, 510m si mchezo

Tunakuombea ufanikiwe

Nina kaswali kidogo mkuu, limepimwa kama shamba au kama mine lease?
 
Mimi ninalo hapo gumbonneka, unaingilia mazingara ekari 70 kila eka laki5 tu madini hayakosi humo ingawa sijachimba
 
Back
Top Bottom