House4Sale Tunauza nyumba na viwanja

Kiwanja kipo Toangoma kituo cha Chuo Toangoma karibu na Bubbles Lodge. Kiwanja kina ukubwa wa 20*20m, umbali toka main road yaani barabara ya Kigamboni to Kongowe ni mita 100 tu.

Gari inafika mpaka kwenye kiwanja.

Huduma zote za kijamii zpo.

0677089280.

Bei ni 5,000,000.

 
Picha zaidi tafadhali, maana kinachoonekana hapo ni tofauti na maelezo

Pia weka maelezo mengine kama kiwanja kina hati, kimepimwa n.k
 
Kiwanja kina hati ya serikali ya mtaa.
 
Kiwanja kina ukubwa wa 20*30 yaani sqm 600.Kipo Zingiziwa Hospitalini,kinauzwa kwa bei ya Tsh.5,000,000.Kipo flat kabisa,nipigie kwa namba 0786504002 kama unakihitaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…