SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.

srinavas

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2011
Posts
4,195
Reaction score
4,013
Habari zenu wakuu

Poleni na majukumu.

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, sisi ni kampni inayoitwa PRIDE ELECTRONICS , Tupo kariakoo Dar es salaam na mipango ya kuenea mikoani ipo.

Tunauza bidhaa zote za electronics kwa jumla na rejareja. Pia unaweza kuchukua mzigo kwa staili ya kuwekesha , yaani unakuja dukani then unachagua kitu halafu unalipia kidogo kidogo mpaka pale utakapomaliza kwa mkataba maalum wa muda maalum

Brand zote zipo MO-ELECTRO, SONY,STAR-X, LG, SAMSUNG, VONHOTPOINT, HISENSE, BOSS, TCL,PANASONIC,SHARP na kadhalika na kadhalika

TCL TV's Smart

TCL Smart 32" - 520,000
TCL Smart 39" - 750,000
TCL Smart 43" - 850,000
TCL Smart 49" - 1,250,000
TCL Smart 55" - 1,500,000 4k
TCL Smart 55" Curve - 1,850,000
TCL Smart 65" 2,900,000 4K
TCL Smart 65" 3,100,000 4K



Samsung TV's

32" - 530,000
40" - 870,000
43" Smart TV - 1,350,000
49" Smart TV - 1,670,000
55" Smart TV - 2,490,000 4K
55" Smart TV Curve - 2,800,000 4K
65" 4K - 4,650,000



LG TV's

24" - 360,000
32" - 530,000
43" - 870,000
49" - 1,360,000
55" - 2,090,000
65" - 3,690,000 4K

Note: LG 40" hakuna

Star - X. TV's

24" - 290,000
32" - 410,000
43" - 730,000
49" - 1,030,000


SONY TV's

32" - 620,000
40" - 1,000,000

Mo Electronics

43" - 780,000
55" - 1,320,000



Vitron TV's

17" - 190,000
22" - 220,000
24" - 290,000
32" - 430,000



Karibuni sana sana sana

Number ya simu ni 0717016789



Hizo ni baadhi tu ya products za dukani kwetu. Unaweza kueleza hitaji lako na tukakupatia bei
0717016789
 
Wenzako wanaofanya matangazo kama haya wanaweka na bei kabisa maana wanajiamini ubora wa bidhaa zao pamoja na convising price. Kitendo cha kuweka namba za simu ili tukuulize hakina afya kabisa kinaondoa kutokujiamini kwako na bidhaa unazotangaza halafuuu!!! unatuwekea instagramu kwani sisi ni Mangekimambi?
 
Mkuu bei zinabadilika kika siku. Hapa kesho bei zine change. Mtu akipenda kitu au akiwa anataka kitu ananiuliza tu namwambia bei hadharani hapahapa kwenye Uzi. Kitendo cha wewe kuja kuni attack hapa kuwa sijiamini na bei zangu ni kukosa ustaarabu na adhabu yako nitakuuzia chochote kwa BEI RAHISI sana. Sasa chagua chochote halafu uniambie kwingine bei gani halafu na mm nikupe bei.

Twende kazi
 
Weka na bei zake tujue. .
Mkuu sema wewe unataka bei ya kitu au vitu gani niziweke hapa na picha. Hivi ni vitu vingi sana kuweka bei na kumbuka bei zinabadilika kila siku
 
Sasa inabadilika haaka hivyo kwani imekuwa foreign exchange ? au labda bei zenu ni kwa dola za kimarekeni ambazo hubadilika kila sekunde? pamoja na hivyo bidhaa ulizoziweka ni nzuri na nyingine ni kampuni mpya tunataka kujua angalau range ya bei kwani kwenye soko bagain ni kitu cha kawaida, kwani bei zilizobandikwa madukani ndio lazima auziwe mteja hiyohiyo? tunaita (invitation to treaty) mtu akishavutiwa ndio anaomba kupunguziwa
 
PRIDE MICROFINANCE au ? Isije kuwa mmetook kwa wateja ???
 
Okey poa mkuu nimekuelewa vizuri kabisa.

Basi naomba nianze kuweka products na bei upya. Unajua hapa natumia simu sasa inaniwia vigumu kidogo. Ila nitaifanyia kazi ushauri wako mkuu.

Ni kitu gani hapo lakini ambacho au ambavyo ungependelea kujua bei zaidi??
 
Hata mimi sijaelewa kwanini anasema bei zinabadilika kila siku, au kila siku anaingiza mzigo mpya?
Kama sivyo basi kuna shida mahali.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…