SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

SOLD: Tunauza TV, Fridge , Home theatre, Sabwoofer, na vingine kama hivyo kwa BEI POA

Status
Not open for further replies.
mkuu tv ya star x nch 32 wauzaje boss, na vp kuhusu Lg, vp unayo star x ambayo pembeni ni silver?
Star- X inch 32 bei yake ni 395,000 mkuu

LG pia zipo inch 32" bei yake ni 525,000/-

Kuhusu star X unazoongelea zipo mkuu. Karibu sana
 
Hata mimi sijaelewa kwanini anasema bei zinabadilika kila siku, au kila siku anaingiza mzigo mpya?
Kama sivyo basi kuna shida mahali.
Sikiliza mkuu pale dukani kuna mzigo wa jumla na reja reja. Na pia TV moja same size inaweza ikawa na model tatu tofauti na price tofauti pia. Sasa naweza sema hapa tv flani size fani ni bei hii kumbe mambo yakaja kuwa tofauti.

Ndio maana nimeshauri nyoe mniulize bei mtaje products. Na pia kwanzia kesho nitakuwa naweza hapa model mbalimbali na bei zake kutokana na ushauri wa mdau mmoja hapo juu
 
Mkuu unaposema bei zinabadilika kila siku, sisi tunaelewa inabadilika kwa specific product
Mfano labda Tv Tcl inch 32 leo inaweza ikawa 200 Tsh na kesho ikawa 210 Tsh.

Hivyo ndivyo maelezo yako yanavyoeleweka.
I stand to be corrected.
 
Mashine Za kufulia nguo unazo? Ninaomba kuziona na bei yake kwa size ya 10kg. Automatic na manual.
 
Friji la boss mlango mmja bei gan naomba na pcha yake
 
Mkuu unaposema bei zinabadilika kila siku, sisi tunaelewa inabadilika kwa specific product
Mfano labda Tv Tcl inch 32 leo inaweza ikawa 200 Tsh na kesho ikawa 210 Tsh.

Hivyo ndivyo maelezo yako yanavyoeleweka.
I stand to be corrected.
Ndio,

Same size same brand ila model zinakuja mpya au stock tu inakuwa mpya ukiangalia na sababu zingine flani flani basi price inabadilika.

Stock change pia inasababisha price kubadilika. Mzigo unaokuja leo si lazima uwe sawa na mzigo wa jana.

Sijui kama unanielewa mkuu
 
kama bei ulivyoipanga tuwekee na picha zake
40903cab92c76397152e78ae337bc183.jpg

Mkuu hembu chagua hapo chapchap.
 
Mbona bei sizioni?
Mkuu bei unachagua unachotaka then unaniuliza. Angalia picha hapo au kile kitu ambacho unataka wewe tu niulize kama kipo dukani nitakwambia. Natumia simu nimeahindwa kuweka price. Ila kesho nitaanza kuweka
 
Mkuu hiyo HotPoint milango miwili unauzaje, na Tcl Smart TV ni bei gani... Na hii tcl naweza iunganisha kupitia Simu yangu ikawa streaming na kwenye Simu yangu naziona kwa screen ya TV!? Nipe bei na somo kidogo on what and how tcl smart
 
Naulizia tcl smart TV ndogo size ya mwanzo,,na hiyo sbwoof ya bei ya chini 65 na85 weka picha na bei Niko njombe nakuja jtatu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom